Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nasi tunawatakia Pasaka njema WASIYO wanachama au wapenzi wa Chadema!Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye vitabu vitakatifu , Msiogope !
Msherehekee kwa Amani .
#TUENDELEE KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI ILI KUPAMBANA NA CORONA
Kwahiyoo mkuu Erythrocyte sisi tusio na chama salamu hizi za Kristo mfufuka hazituhusu?View attachment 1416877
Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye vitabu vitakatifu , Msiogope !
Msherehekee kwa Amani .
#TUENDELEE KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI ILI KUPAMBANA NA CORONA
Ndiyo maana yake.Kwahiyoo mkuu Erythrocyte sisi tusio na chama salamu hizi za Kristo mfufuka hazituhusu?
Samahani lakini, hivi hayo mayai kwenye bango niyandege gani vile!!View attachment 1416877
Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye vitabu vitakatifu , Msiogope !
Msherehekee kwa Amani .
#TUENDELEE KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI ILI KUPAMBANA NA CORONA
Nyie ni wanachadema , ni suala la muda tuKwahiyoo mkuu Erythrocyte sisi tusio na chama salamu hizi za Kristo mfufuka hazituhusu?
unasifiwaje na wasiokujua ?sifa za kijinga
uko sayari ipi mjomba ?Hakuna chadema duniani kote
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Swali lako ni kati ya maswali bora kabisa niliyowahi kuulizwa hapa JFMkuu samahani kama nitakukwaza,hivi huko chadema una cheo au ni mfurukutwa tu!!?