ok.🐒Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Ibrahim hakuwahi kumwabudu Allah. Kama alimuabudu tuambie maana ya allahIbrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Kwanza, ndugu yangu, kusema kwamba Ibrahim (AS) hakuwahi kumwabudu Allah ni madai yanayopingana na Qur’ani. Lakini umeuliza maana ya Allah, basi tuelewane kwa dalili.Ibrahim hakuwahi kumwabudu Allah. Kama alimuabudu tuambie maana ya allah
Umekasirika?Sheikh tulia na dini yako unayoiamini, watu wana dini zao wanazoziamini kwa mujibu wa miungu yao. Huyo Ibrahimu usimnasibishe na uislam wala hauujui
Wapi katika Quran Allah amesema mimi jina langu ni Allah na ni mungu mniabudu?Maana ya Allah ni nini?
Allah (الله) ni jina maalumu la Mola wa kweli, Muumba wa mbingu na ardhi, anayestahiki kuabudiwa peke yake. Si jina la sanamu wala la mwanadamu.
Dini hazina kazi yoyote ndugu yangu zaidi ya kutawala akili yako, jifunze ukweli utauona.Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Ilikuwaje uislamu umekamilika surah ya 5 , inamaana surah za mbele hazina maana yoyote kwenye uislamuIbrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Wapi katika Quran Allah amesema mimi jina langu ni Allah na ni mungu mniabudu?
Kuna sehemu tofauti na quran ambako Allah alisema hilo ni jina lake binafsi? Maana allaha anadai alileta vitabu vingine tofauti na quran. Hiyo allah yenyewe maana yake nini, hukujibu hili swali
UmechanganyikiwaDini hazina kazi yoyote ndugu yangu zaidi ya kutawala akili yako, jifunze ukweli utauona.
Hujafahamu na hujaelewa. Kama unataka uelimishwe semaIlikuwaje uislamu umekamilika surah ya 5 , inamaana surah za mbele hazina maana yoyote kwenye uislamu
Acha upuuzi Mujahideen koko wewe!!!Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Sawa sheik Malaria 2Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Kwa nini utumie nguvu na kulazimisha mtu kuamini dini yako??Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Allah kasema surah ya 5 kakamilisha uislamu, kisichoeleweka apo ni Nini?Hujafahamu na hujaelewa. Kama unataka uelimishwe sema