Nawatakia ijumaa njema wakiristo wote wa jf.

kamilisha. kumaliza jambo au kazi kwa kufanikisha malengo yaliyowekwa

Surah za mbele ni za Nini?

Allah aliposema katika Qur’ani 5:3 kwamba dini imekamilika, hakusema kwamba Qur’ani imeishia katika sura ya tano. Suratul Ma’idah ni ya tano katika mpangilio wa msahafu, si ya tano kushuka kwa mpangilio wa kihistoria. Qur’ani iliteremshwa kwa takribani miaka 23, na sura zake zimepangwa kwa mpangilio ambao si lazima ufuate tarehe za kushuka. Kukamilika kwa dini maana yake ni kwamba Allah amekamilisha dini ya Uislamu; si kwamba sura nyingine hazina maana
 
Mtoa mada chukua kijiti cha mbaazi na ufuate maelezo ya shekhe wako Mtakatifu 😎

Allah aliposema katika Qur’ani 5:3 kwamba dini imekamilika, hakusema kwamba Qur’ani imeishia katika sura ya tano. Suratul Ma’idah ni ya tano katika mpangilio wa msahafu, si ya tano kushuka kwa mpangilio wa kihistoria. Qur’ani iliteremshwa kwa takribani miaka 23, na sura zake zimepangwa kwa mpangilio ambao si lazima ufuate tarehe za kushuka. Kukamilika kwa dini maana yake ni kwamba Allah amekamilisha dini ya Uislamu; si kwamba sura nyingine hazina maana
Kwa hiyo walio edit surah waliitoa surah number ngapi wakaleta iwe ya tano na kwa Nini?

Kwa maana ya kukamilisha ilitakiwa kuwa surah ya mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom