Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
WaTanzania wanajivunia weledi, umakini, uaminifu na uchapakazi wenu katika kuwatumikia bila kuchoka, bila kukata tamaa na bila upendeleo wala ubaguzi. Wanachi wanashauku na imani kubwa mno kwenu na wanategemea huduma bora zadi tuendako.
Ustahimilivu wenu, subra na kujitolea kwenu kumewafanya waTanzania kujivunia wajibu wenu muhimu sana katika kuwapatia na kuboresha huduma zao muhimu za kila siku na kuchochea maendeleo yao kijamii, kisisa na kiuchumi.
wWelld done vyama vyote vya wafanyikazi Tanzania
kila la kheri ndugu zangu wafanyikazi wote nchini
Mungu Ibariki Tanzania