Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,586
Hata kama unafanya kazi kwenye duka lako au kampuni yako, bado wewe ni mfanyakaziTusio kuwa wafanya kazi tun coment wap
Hata kama unafanya kazi kwenye duka lako au kampuni yako, bado wewe ni mfanyakaziTusio kuwa wafanya kazi tun coment wap
Tena hiyo 6500 ni viwanja vichache.kwanini wafanyakazi wa sekta bi nafsi asa viwandani mishahara haipandi?
una mlipa mtu 6,500 kwa siku kweli?
ndio kwa wahindi,japo wanapewa termination na nssf lakini bado wanateseka.Tena hiyo 6500 ni viwanja vichache.
Mhhh....atasema kesho gentleman,
tuwe wastahimilivu na wenye subra![]()
Naunga mkono hoja. 😂😂😂😂Sisi tusio kua wafanyakazi watuwekee sherehe zetu na sisi 😄