waTanzania wanajivunia weledi, umakini, uaminifu na uchapakazi wenu katika kuwatumikia bila kuchoka, bila kukata tamaa na bila upendeleo wala ubaguzi. Wanachi wanashauku na imani kubwa mno kwenu na wanategemea huduma bora zadi tuendako.
Ustahimilivu wenu, subra na kujitolea kwenu kumewafanya waTanzania kujivunia wajibu wenu muhimu sana katika kuwapatia na kuboresha huduma zao muhimu za kila siku na kuchochea maendeleo yao kijamii, kisisa na kiuchumi.
welld done vyama vyote vya wafanyikazi Tanzania
kila la kheri ndugu zangu wafanyikazi wote nchini
Mungu Ibariki Tanzania
Nyie mnasemaga kila siku kwenu ni sikukuu....Sisi tusio kua wafanyakazi watuwekee sherehe zetu na sisi 😄
Okay sis Kila Wikiend tunajipongeza atusubiri hii y mwaka mara mojaTz hakuna asie na kazi ndugu mdau. kila ufanyalo ni kazi na ni vizuri kupokea pongezi
hii ya kila mwaka ni ya jumla,Okay sis Kila Wikiend tunajipongeza atusubiri hii y mwaka mara moja
Amesema safari hii hapaishi penati, kitu nyavuni ongezeko la minoti ambalo mtabeba kwa lumbesa..Mama anasemaje
Yes gentleman,kwanini wafanyakazi wa sekta bi nafsi asa viwandani mishahara haipandi?
una mlipa mtu 6,500 kwa siku kweli?
Yes gentleman,
binafsi nikiri tu kwamba hiyo ni miongoni mwa changamoto inayowakatisha tamaa na bidii wafanyikazi wengi sekta binafsi, na kwakweli hiyo tuendako inaweza kua ni miongoni mwa agenda muhimu sana za kitaifa, tunapoelekea uchaguzi mkuu wa october 2025, katika kuimarisha maslahai ya wafanyakizi si tu wa serikali, bali pia kwenye taasisi zisizo za serikali na sekta binafsi kwa ujumla.
May Mosi ya kesho itatupatia uelekeo thabiti kutokana na jumbe za vyama vya wafanyikazi, shirikisho la wafanyikazi na tamko la serikali kwa maana ya kauli mbiu
kuna kipindi serikali ilitoa miongozo ya mishahara mipya kwa sekta binafsi.je nani anafuatilia kama wamepandisha?Yes gentleman,