Leonard Waziri
Member
- Aug 15, 2013
- 55
- 23
Haswaa,ila Vita Vs Al Ahly waki droo itakua poa sana,lakini Simba leo ashinde,akipigwa au kudroo haaa basi ndo itakua imeisha imeisha iyo.Simba wakishinda leo watahitaji point moja tu dhidi ya As Vita ndio ufuzu endapo mechi ya As Vita dhidi ya Al Ahly mmoja wapo atashinda leo
Simba wakishinda Leo watakua wamefuvu moja kwa mojaSimba wakishinda leo watahitaji point moja tu dhidi ya As Vita ndio ufuzu endapo mechi ya As Vita dhidi ya Al Ahly mmoja wapo atashinda leo
Ipo hivi:. Simba wakishinda leo watakuwa na alama 10 na mechi mbili mkononi. Ya kwanza ni vs As Vita kwa Mkapa na ya pili vs Al Ahly itakayochezwa Misri.Simba wakishinda Leo watakua wamefuvu moja kwa moja
Angalia wanaomfata nyuma afu tabiri matokeo yao endapo mmoja akishida maana yake hawezi zifikia point za Simba na endapo wakidroo ndo watakua wameongeza zaidi Vita za wao kwa wao
Mugalu why asiwe kwa ajili ya match za Away??Oya huu uzi ubadilishwe Heading ili utumike kujuzana updates.
Kila la kheri Mnyama
Kocha ndio anaona Mugalu anafiti kwenye mambo mengi kuliko Boko na Kagere.Mugalu why asiwe kwa ajili ya match za Away??