Nawatakia mwaka mpya wenye amani na baraka tele!

Nawatakia mwaka mpya wenye amani na baraka tele!

Ritakahama

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
758
Reaction score
411
Wapendwa woote kwa pamoja mkiongozwa na mon sherrry Ronn M na mama gfsonwin,shem@Erickb52 na wote kwa pamoja nawatakia kheri ya mwaka mpya uwe wa amani ,mafanikio na baraka telee!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana jeneneke ulipotolea wapi?
 
Last edited by a moderator:
niliamua tu kupumzika Baba V nikusanye nguvu za mwaka mpya na akili ipate upenye wa kuingiza mawazo mapya niliweka all gadget pembeni.Tanks God am here once again.mzima lakini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom