Nawatakia Wakenya wote uchaguzi mwema, wenye amani na wa haki

Nawatakia Wakenya wote uchaguzi mwema, wenye amani na wa haki

Hawa lazima wachinjane.Raila hawezi kuibiwa tena,ila lazima wamuibie.Wanasema Jaluo hawezi kuongoza wakenya.
 
swadakta mkuu
umenena vema sana. KBC nimeangalia wamebalance story zao kwa vyama vyote
na ni Runinga ya umma na sio ya chama kama ilivo TBC yetu yaani TBCCM1
sisi tunakatwa kodi zetu kwa ajili ya tv yenye mrengo wa chama tawala na bado tuko kimyaa
nadhani 2015 chombo hiki kitarudi kuwa mikononi mwa wananchi na sio serikali tena
Mkurugenzi wake atachaguliwa baada ya kusailiwa na bunge
na atakuwa huru katika kutoa taarifa
ni somo kwa vyombo vyetu kujifunza kwa wenzao wa kenya,hapa nchini vyombo vingi vimejaa unafki mwingi kwa serikali ya ccm,ukiangalia kipindi cha dk45,cha itv kila siku ni watu wa ccm mawaziri wale wale mpaka tunajiuliza ikikipindi ni cha watu wa ccm,au wamelipia wao,kama awajalipia je akuna watu wengine katika jamii wanaofanya mambo mazuri wawa alike waje kwenye kipindi cha dk45 cha itv,tuliona kwenye kampeni za 2010,tv stesheni hazikuwa fear kwa vyama vya upinzani,tofauti na ccm,tunamshukuru aliekua mkurugenzi mtendaji wa tbc bwn,tido mwando kwa kutuletea mjadala live kutoka majimbonii,,,nandio ilikua kaburi lake kuondolewa,tbc,nadhani hathari za kuondolewa tido tbc,zinaonekana tbc sasa imekua [tbccm]mikutano ya ccm wanakesha tena live,sasa kimekua ni chombo cha makala za ccm na kupiga propaganda chafu kwa upinzani hasa chadema hata habari za chadema ni mwiko kusomwa au kuonyeshwa kwenye habari zao,mwisho vyombo vyote vya habari vijue wananchi wanauwezo wa kukiweka chama watakacho amua kukiweka,sasa basi vile vyombo ambavyo vilikua adui wa chama ichoambacho kitawekwa madarakani katika uchaguzi ujao 2015 watafute shimo la kuingilia,itakua bonge la sinema, maana wale ambao waliwafanya vibaraka watakua wameondolewa[tbc][itv][star tv]chanel 10]na nyingine akili vichwani mwenu dalili zipo wazi kwamba ccm bye bye,
 
Safina's Paul Muite and ARK's Mwalimu Abduba Dida went on air unrehearsed after a day spent in court seeking orders to include them in the debate. Muite's personal assistant, Mr David Wanjohi, says the two barely made it in time.
"(Muite) arrived a minute before the debate got underway," he says. "Dida had to drive on the wrong side of Lang'ata Road to get there. We even did not know the rules of engagement. Their contributions were unrehearsed." source:
Standard Digital News - Kenya : Presidential teams rethink debate strategies

Vyombo vya habari Kenya siyo vya kuviamini sana na wakati mwingine hujisahau maana kama nukuu hapo juu waandaaji wa Mdahalo walikuwa hao hao vyombo vya habari lakini walitaka kutowapa nafasi wagombea 'wadogo' kama Mwanasheria Paul Muite na Mwalimu Abduba Diba mpaka jamaa wakaenda kortini kudai haki yao kikatiba kuweza kushirikishwa katika mdahalo wa wagombea urais Kenya.

Hivyo katiba katika makaratasi na wino inaweza kuonekana nzuri lakini katika utekelezaji huwa inapindishwa na kuwabagua baadhi wa wananchi wa Kenya na ni hivyo katika nchi zingine za barani Afrika.

Lugha fasaha ya Kiingereza inawapiga chenga wapiga kura walio wengi Kenya lakini vyombo vya media ya Kenya vinarusha matangazo ya kampeni, midahalo na uchambuzi kwa lugha ya Kiingereza badala ya Kiswahili na huu si mfano wa kuigwa au kupongezwa.

Masuala mzito kwa mwananchi wa kawaida wa Kenya kama ardhi, elimu, afya, ajira inakuwa vipi yachambuliwe au kuahidiwa kwa wananchi waKenya kupitia vyombo vya media kwa lugha ya Kiingereza bila kutilia maanani kuwa wasikilizaji au watazamaji wa televisheni ufahasa wa lugha ya Kiingereza hawana! Hii ni sawa na sera za mkoloni wa Kiingereza ambaye alikuwa na sheria kuwa ukiwa na elimu ndogo basi waachie walio na elimu kupiga kura na kukuamulia mustakabali wa maisha yako kisiasa.

Tukitumia mfano , mdahalo wa uraisi Kenya hauna lolote la ziada zaidi ya Tanzania au nchi yoyote ya kiafrika katika kufuata katiba nzuri iliyo katika makaratasi kwa vitendo iwe kwa vyombo vya media, tume za uchaguzi, vyombo vya dola vya usalama na ulinzi n.k ambavyo ama kwa kufahamu au mazowea au kuburuzwa au kushurutishwa hupendelea baadhi ya watu walio na 'uwezo' katika jamii.

Mfano mwingine Vyama vya siasa vya msimu Kenya/miungano ya chap-chap Jubilee au CORD au Ukabila havichambuliwi kwa kina na media ya Kenya. Vyama vya siasa Tanzania siyo vya msimu CHADEMA, CUF, NCCR-MAGEUZI, MAGAMBA a.k.a CCM n.k vyote vimedumu miaka ishirini (20) na zaidi, ''ukabila'' na 'udini'' unachambuliwa kwa kina na media za Tanzania na mitandao ya kijamii kutukumbusha athari- hasi (negative impact) katika juhudi zetu za kuujenga utaifa wa Mtanzania.

KASS- FM Kenya inamilikiwa na Wakalejin na K24TV ni ya GEMA association wakati Tanzania vituo vya media vya kikabila vinapigwa kwa majadiliano chanya katika media na mitandao ya jamii Tanzania ili kuzuia kuwepo vituo vya media vyenye muelekeo wa kikabila.
 
K24 ni mali ya Uhuru Kenyata na Citizen ni mali ya Raila Odinga. So wana haki ya kutumia vyombo vyao mkuu.

Lo, ndiyo maana. Kwangu dishi linashika K24 pekee. Nimekuwa nikishangaa sana ubaguzi huu wa kuonesha habari. Kwa maoni yako kama uliangalia mikutani ya jana ya Nyayo na Uhuru, nani alikuwa na umati mkubwa wa watu!
 
K24 ni mali ya Uhuru Kenyata na Citizen ni mali ya Raila Odinga. So wana haki ya kutumia vyombo vyao mkuu.

Tanzania ni jiwe la pembeni liliokataliwa na watanzania wachache. Jaribuni kuongea na Wakenya waliotembea na kufungua mboni za macho yao ili mpate mtazamo wa Tanzania katika macho na fikra zao.

Hizo TV unazozisema zinamilikiwa na hao hao wagombea Urais. Hivi katika akili ya kawaida, zinaweza kweli kuwa fair?.
Tatizo kwa sasa Watanzania tuko desperate kuifanya hii serikali ionekane kama haina lolote ( bogus) wakati huo huo tukivua utu wetu
 
Published on 2 Mar 2013http://www.ntv.co.ke
Will the history of violent ethnic rivalries that has been the character of end this time around? This is the question Nakuru is grappling with as some of the residents are taking precaution and moving away from the town. Just days to the election. Police assure that they are well prepared to provide security. Sheila Sendeyo has more from Nakuru County

Source: ntvkenya youtube

Naona watu bado waoga na zoezi hili muhimu lakini matumaini yetu mambo mwaka huu wa 2013 yatakuwa ya amani na utulivu baada ya kura.
 
Last edited by a moderator:
tuseme hatuna la kujifunza kutoka kwao?
tukianza na midahalo, unadhani TBC waatathubutu kuwaita mgombea wa CCM asimame na mgombea wa Chadema na CUF?
WATAWEZA KUWAULIZA MASWALI MAGUMU? UPEO WANAO?
 
tuseme hatuna la kujifunza kutoka kwao?
tukianza na midahalo, unadhani TBC waatathubutu kuwaita mgombea wa CCM asimame na mgombea wa Chadema na CUF?
WATAWEZA KUWAULIZA MASWALI MAGUMU? UPEO WANAO?
Hii ya Midahalo siyo kitu ambacho ni cha ajabu kutokufanyika Tanzania. Waingereza na demokrasia yao ya miaka mingi inayochagizwa na tekinologia hawakuwahi kuwa na midahalo katika chaguzi zao. Midahalo ilikuja tu kushinikizwa na media za Rupert Mordoch last general election 2010 ambaye alikuwa anampigia chapuo David cameron. Kwa sababu Cameron alikuwa hajulikani sana katika jamii, waliona hiyo ilikuwa ni njia ya kumuuza kwa urahisi. Ndiyo maana wakashinikiza Labour party kufanya mdahalo.
Watanzania tuko kama 'dodoki', kila kitu kinachofanywa na nchi nyingine tukiona tu, tunataka nasi kukifanya. Hatufahamu hata tunasimama wapi.
 
Tanzania ni jiwe la pembeni liliokataliwa na watanzania wachache. Jaribuni kuongea na Wakenya waliotembea na kufungua mboni za macho yao ili mpate mtazamo wa Tanzania katika macho na fikra zao.

Hizo TV unazozisema zinamilikiwa na hao hao wagombea Urais. Hivi katika akili ya kawaida, zinaweza kweli kuwa fair?.
Tatizo kwa sasa Watanzania tuko desperate kuifanya hii serikali ionekane kama haina lolote ( bogus) wakati huo huo tukivua utu wetu

Wakati wote TZ husema ndio jiwe la pembeni, bali kuna changamoto nyingi ambazo mumeshindwa kumaliza kama ufisadi.

Jiwe na pembeni ikiwa mumeweza jitosheleza bila kutegemea misaada kuanza miradi ya maendeleo. Munategemea mataifa ya kigeni huwezi kuwa jiwe la pembeni
 
Nadhani issue isiwe kukataa kujifunza hata vitu vizuri kutoka kwa wengine.

Kama mpango huo wa kuwapima wagombea wetu vizuri na kuamua uwezo wao na dira zao, ni kitu kizuri sana cha kujifunza, na sioni aibu kusema kuwa ni vema KUIGA.

A wise man changes his mind sometimes, a fool never.
 
jaribu kuwasikiliza wnavochambua siasa ndio uanze kukoment hapa
wachambuzi wao wana weledi mkubwa kisiasa
wanaelewa ni nini wanachopaswa kuwaeleza watazamaji bila ubaguzi
sio kama wachambuzi wa tvzetu za bongo wanaoshabikia zaidi uchama kama tv ya taifa tbc na zingine
ya kujifunza yapo mengi sana ukiwasikiliza kwa makini
kwa wakati mmoja utawana wanazungumzia kampeni zote na kuwaonyesha live pamoja.
Ndivo walivokuwa wanafanya cnn, abc wakati wa kampeni uchaguzi marekani

achana naye ndugu yangu, majitu yasiyojua kitu na yasiyo appreciate good deeds za wenzao!
 
Wakati wote TZ husema ndio jiwe la pembeni, bali kuna changamoto nyingi ambazo mumeshindwa kumaliza kama ufisadi.

Jiwe na pembeni ikiwa mumeweza jitosheleza bila kutegemea misaada kuanza miradi ya maendeleo. Munategemea mataifa ya kigeni huwezi kuwa jiwe la pembeni
Kwani kukopa ni dhambi?. Kwa taarifa yako, hata USA ina madeni kibao na bado inakopa pesa kutoka CHINA. Open your eyes.
 
Hii ya Midahalo siyo kitu ambacho ni cha ajabu kutokufanyika Tanzania. Waingereza na demokrasia yao ya miaka mingi inayochagizwa na tekinologia hawakuwahi kuwa na midahalo katika chaguzi zao. Midahalo ilikuja tu kushinikizwa na media za Rupert Mordoch last general election 2010 ambaye alikuwa anampigia chapuo David cameron. Kwa sababu Cameron alikuwa hajulikani sana katika jamii, waliona hiyo ilikuwa ni njia ya kumuuza kwa urahisi. Ndiyo maana wakashinikiza Labour party kufanya mdahalo.
Watanzania tuko kama 'dodoki', kila kitu kinachofanywa na nchi nyingine tukiona tu, tunataka nasi kukifanya. Hatufahamu hata tunasimama wapi.

Dodoki hufyonza lakini hutakatisha likakupa muonekano mzuri. Linaweza likakung'arisha ukapendeza ama likakuchubua, lakini mwisho wa siku litakuwa limekutakatisha!!!!!!
 
Tanzania ni jiwe la pembeni liliokataliwa na watanzania wachache. Jaribuni kuongea na Wakenya waliotembea na kufungua mboni za macho yao ili mpate mtazamo wa Tanzania katika macho na fikra zao.

Hizo TV unazozisema zinamilikiwa na hao hao wagombea Urais. Hivi katika akili ya kawaida, zinaweza kweli kuwa fair?.
Tatizo kwa sasa Watanzania tuko desperate kuifanya hii serikali ionekane kama haina lolote ( bogus) wakati huo huo tukivua utu wetu

Hi kwa nini usituleze maana hasa ya jiwe la pembeni====mi naona unataka kutu mislead
 
Back
Top Bottom