Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

Ujumbe ni mmoja tu 😊
Screenshot_20240617-142826_1.jpg
 
Weka mipango halisia inaYopimika.

Usitegèmee uta force vitu vitokee.

Jitahidi mwaka huu na ww uende hata zanzibar ukatulize akili maana dubai mbali. Usiwe mtu wa kusimuliwa kila jambo VACATION sio kitu cha kuamka na kufanya
 
Huwa Kila nikiwaza kuwa naweza kupata burudani Zanzibar nachoka kabisa Dec hii nimeenda mwanza na Tanga
Mwanza vibe zuri sana 🙌🙌Tanga Sasa hapo ndio nikasema ngoja nirudi nilipotoka
Tanga imepoa aisee
Anyway ni vizuri kuwa vacation ndogo mwisho wa mwaka
 
Zanzibar very special kaka. Ni kujipanga tu
 
Weka mipango halisia inaYopimika.
Usitegèmee uta force vitu vitokee..
Jitahidi mwaka huu na ww uende hata zanzibar ukatulize akili maana dubai mbali. Usiwe mtu wa kusimuliwa kila jambo VACATION sio kitu cha kuamka na kufanya
RIP 2024
 
Back
Top Bottom