Nawatakieni heri ya mwaka mpya wana JF wote na kuwaombea waliotangulia

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039

Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda kufikiri. Tupambane na kila adui wa fikra kama vile uchawa, ukunguni, ukiroboto, unune, na ufisi na yale yote yanayofanana na hayo. Kila la heri na HERI YA MWAKA MPA.
 

Attachments

  • 1734309766706.png
    123 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…