Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda kufikiri. Tupambane na kila adui wa fikra kama vile uchawa, ukunguni, ukiroboto, unune, na ufisi na yale yote yanayofanana na hayo. Kila la heri na HERI YA MWAKA MPA.