Nawatapeli sana wanawake!

sakwano

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
303
Reaction score
830
Kimsingi mimi huwa sina wazo la kumtapeli mwanamke yoyote isipokuwa huwa naona uzito wa kutoa ile hela ambayo kabla ya mgegedo haukuanza, yani pisi nazolenga kwanza huwa nikali hatri yani pisi nazolenga huwanza na dau la 100k nakuendelea kibongobongo pisi ya bei hio huwa imesimama afadhali.

Hiki kitabia kilianza taratibu siku ambayo nilifanya miadi na manzi kwa makubaliano ya 50k, basi ikawa poa tukashuka bar ilikuwa na lodge pembeni, nikamchapa demu na savanna nne za baridi huku mimi nikichapa Kilimanjaro kubwa za moto,baada ya hapo tungaingia lodge na vinywaji vyetu.

Sasa picha huanza asubuhi baada ya kuichapa papuchi usiku kucha, yani huwa nawachomoka sehemu ya kupiga supu, nikishanunua supu mbili then nalipia bills halafu na chomoa 5000 na mpa kisha namuelekeza kuna mchongo nafukuzia kabla ya saa nne asbh nakutumia hela nyingine. Duu hii njia hakuna demu aliewahi kupinga, ila sasa hasara yake baada ya saa nne matusi yatakayofuata yani huwezi kuyasoma.

Sasa wakuu nimetafakari nimeona kuna siku naweza kumwagiwa maji ya moto..je athari yoyote ile juu hiki kitendo, au baharia nafeli sana au sio ujanja wakuu?sema asubuhi asbhui utoe laki mazee hela au hamsini hela inauma.
 
Hivi ni kwann kama Demu mmekubaliana utampa 100K.

Kwann Tena suala la Chakula, vinywaji ,Asubuhi Supu, liwe lako tena?

Yaan nauli unatuma, Msosi wako, Vinywaji vyako, Unampa Mgegedo anasikia rahaaa, Asubuhi Na supu Yako ... Alafu na Hela 100K?.

Kwann wewe Mwanaume usilipie tu Chumba na Hela yake .. mengine Kila mtu ajijue ?.

NB: Nazungumzia Hawa Wanawake wa "Una shingapi tulale usiku Mmoja?.
 
Ila kiukweli wale mademu huonekanaga wajanja sana ukiwafanyia haya mapichapicha unaweza ukamuonea hadi huruma mzee

Nikweli kabisa. Nilishawahi mfanyia mmoja hivi paaap kaja lodge nikachakata mbususu mpaka asubuhi nikamchukua kwenda kumdrop kwake ile tumefika kwake nikapaki Gari nikamwambia ngoja nkutumie kupitia bank basi nikajifanya nafanya transction kwa sim kisha nikamwambia tayari, akasema mbona sms haijaja?

Nikamwambia itakuja itakuwa shida network akanambia basi poa akashuka nikasepa kumbe sikutuma wala nini[emoji2][emoji2]hizo sim nilizokuwa napigiwa baadae plus messages nilijuta mpaka nilimuonea huruma sista duu wa watu.
 
Kimsingi mimi huwa sina wazo la kumtapeli demu yoyote isipokuwa huwa naona uzito wa kutoa ile hela ambayo kabla ya mgegedo haukuanza, yani ...
Huu mchezo niliufanya sana, me nilikuwa nawaauliza kama wana m-pesa au airtel money nao walikuwa wanajibu ndio, nami nasema sawa mida tu baada ya kutoka hapa mambo yatakuwa sawa nitafanya mihamala ya kueleweka wanaridhika kabisa, nikitoka hapo hakuna ata mia wataona.

Huu mchezo nilifanya kipindi nimemaliza form six na kipindi nimetoka chuo sina mchongo wowote wa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…