Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ngono siyo vita wala adhabu.Kimsingi mimi huwa sina wazo la kumtapeli mwanamke yoyote isipokuwa huwa naona uzito wa kutoa ile hela ambayo kabla ya mgegedo haukuanza, yani pisi nazolenga kwanza huwa nikali hatri yani pisi nazolenga huwanza na dau la 100k nakuendelea kibongobongo pisi ya bei hio huwa imesimama afadhali.
Hiki kitabia kilianza taratibu siku ambayo nilifanya miadi na manzi kwa makubaliano ya 50k, basi ikawa poa tukashuka bar ilikuwa na lodge pembeni, nikamchapa demu na savanna nne za baridi huku mimi nikichapa Kilimanjaro kubwa za moto,baada ya hapo tungaingia lodge na vinywaji vyetu.
Sasa picha huanza asubuhi baada ya kuichapa papuchi usiku kucha, yani huwa nawachomoka sehemu ya kupiga supu, nikishanunua supu mbili then nalipia bills halafu na chomoa 5000 na mpa kisha namuelekeza kuna mchongo nafukuzia kabla ya saa nne asbh nakutumia hela nyingine. Duu hii njia hakuna demu aliewahi kupinga, ila sasa hasara yake baada ya saa nne matusi yatakayofuata yani huwezi kuyasoma.
Sasa wakuu nimetafakari nimeona kuna siku naweza kumwagiwa maji ya moto..je athari yoyote ile juu hiki kitendo, au baharia nafeli sana au sio ujanja wakuu?sema asubuhi asbhui utoe laki mazee hela au hamsini hela inauma.
Ujinga ni kuifanya ngono kama ajira