GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Owkey…nilifikiri upo kwenye kujadili hoja…kumbe kuna waliokaa 'Grano Coffee' ndio walikuwa wanakusumbua….
Lihesabu kama povu or not, in short mnakera kuhesabu kila mafanikio ya mwanamke yanatokana na ngono, na si vinginevyo. Labda ili twende sawa, nendeni mkaiendeleze theory hii kwa watoto wenu wa kike ili wasije wakafeli mbele ya safari.
Kwa ' Povu ' hili tu unaonekana na Wewe hata hayo ' mafanikio ' uliyonayo sasa yalitokana na ' Kutambaliziwa ' nao na ndiyo maana baada ya kuona tumewashtukieni / kuwagundua sasa umekasirika / umepaniki. Kweli nimeamini kuwa siku zote ukweli huwa unauma.