GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #101
Owkey…nilifikiri upo kwenye kujadili hoja…kumbe kuna waliokaa 'Grano Coffee' ndio walikuwa wanakusumbua….
Lihesabu kama povu or not, in short mnakera kuhesabu kila mafanikio ya mwanamke yanatokana na ngono, na si vinginevyo. Labda ili twende sawa, nendeni mkaiendeleze theory hii kwa watoto wenu wa kike ili wasije wakafeli mbele ya safari.
Kwa ' Povu ' hili tu unaonekana na Wewe hata hayo ' mafanikio ' uliyonayo sasa yalitokana na ' Kutambaliziwa ' nao na ndiyo maana baada ya kuona tumewashtukieni / kuwagundua sasa umekasirika / umepaniki. Kweli nimeamini kuwa siku zote ukweli huwa unauma.
Basi utakuwa una tatizo mahali…unatoa hoja ukijibiwa unadai 'povu' na kujaribu kutafuta upenyo wa 'kunivictimise'? Sina sababu ya kupanic, ila nimechangia hoja kama ulivyoileta. Ni bahati mbaya sana asilimia 99 ya waliojibu hoja yako wamekubaliana na unayoyasema ndio maana unaniona niliyetofautiana na wewe (na bahati mbaya sana nikiwa mwanamke) kama nimepanic. Pole kwa hilo kwanza.
Sina sababu ya kujielezea 'mafanikio' yangu kwako..(in converted comma like you proposed), kwa sababu, umeshayatolea majibu yenye conclusion yako uipendayo.
Ushauri wangu unabaki pale pale, kama akina baba ambao mngependa kuona watoto wenu wa kike wanafanikiwa, mkawashauri kuwa hawawezi kufanikiwa bila ngono. Vinginevyo mafanikio watayasikia redioni tu……Of course, I expect you to practice what you preach….eti eeh...
Ila muwe mnasema ukweli bs km hamuwez bora mkae kmya sio kupita mbele ya kadamnasi kusema mmeanza na mtaji wa elf10 na sasa unacampun km uliwezeshwa kubali hata ww hapo kubali uliwezeshwa
Hahaha unaweza kukuta baba yako anamkubali nyumba ndogo kuliko mamaakoMwanamke nayemkubal ni mama yangu tuuu !!!
CCM huyo baba, bashitez!Hivi ni Mentor au ni Mental???
labda hiyo 3500 ilikuwa nauli ya kufata hilo danga lake lililomtoaWanawake wengi ni waongo....wakisha achana na watu wao utasikia biashara yangu nilianza na mtaji wa tsh 3500/=
Nakubaliana na wewe kwenye malezi. Wazazi wengi hawawalei watoto wa kike kama walivyo wa kiume mwishowe msichana hajiamini anaishia kujivunia kipuchi kama silaha yake ya mwisho ya kupatia mafanikio hususan akitaka promo pale KLAUZx. Mifano hai tunayo akiwemo Tanganyika Sweetheart, Zambarau Mkereketwa, wolta stailishi aka mangi fundi cherahani, Mrs. Irene dogo boya na baadhi ya Malkia wa Kuchonga majina na picha mnazo.Bongo kuna wanawake wachache sana waliofanikiwa bila kugawa papuchi. Hii inatokana na mfumo dume ambao bado upo, wao wenyewe kujirahisisha, malezi ya wazazi ( wengi wamelelewa kutojiamini). Ubaya ni watu wanao promotiwa kama wanamafinikio wengi sio wale waliotumia juhudi zao binafsi bali wale wanaopendwa na wanaowapa promo. OVER!!
Ha ha ha haUnaweza kukuta na K Lyn na yeye anasema alianza na mtaji wa elfu 30
Ndiyo mkuuBongo kuna wanawake wachache sana waliofanikiwa bila kugawa papuchi. Hii inatokana na mfumo dume ambao bado upo, wao wenyewe kujirahisisha, malezi ya wazazi ( wengi wamelelewa kutojiamini). Ubaya ni watu wanao promotiwa kama wanamafinikio wengi sio wale waliotumia juhudi zao binafsi bali wale wanaopendwa na wanaowapa promo. OVER!!
Wataje hao waliofanikiwa bila "nguvu ya buku"Bongo kuna wanawake wachache sana waliofanikiwa bila kugawa papuchi. Hii inatokana na mfumo dume ambao bado upo, wao wenyewe kujirahisisha, malezi ya wazazi ( wengi wamelelewa kutojiamini). Ubaya ni watu wanao promotiwa kama wanamafinikio wengi sio wale waliotumia juhudi zao binafsi bali wale wanaopendwa na wanaowapa promo. OVER!!
FactsWanaume mmekuwa very unafair kwenye hii thread..hivi kweli hakuna wanawake wanaopambana wenyewe bila nguvu ya wanaume? Au ndio ile notion ya mwanaume akipandishwa cheo ni kwa sababu ya uchapakazi ila mwanamke ni kwa sababu mwili wake? Ni watoto wangapi Tanzania hii kwa mfano tu waliolelewa na wazazi wa kike pekee mpaka wakaweza kujisimamia wenyewe. Humu JF kwenyewe mmejaa kibao. Leo mnakuja with such negative opinions. Acheni hizo. Hata kama wapo waliopitia njia hizo, hamuwezi kuja with such generalizations....