Nawatesa majirani na maisha yangu kuwa siri yangu

Nikweli nikama zile story za mabrother wa kutinga mamtoni au South africa ..na mabaharia ..utasikia watu wote waliniona wa kushua kumbe anajistukia tu mwenyewe.tena inawezekana wanakuona fara tu 😁
Kabisa na watanzania wengi wana hizi stories za kujishtukia ,utasikia mtaa mzima wananiona mimi nipo bize mara nafuata biashara zangu , mara wananisema na kunionea wivu ,kumbe kujishtukia tu, mala buku😁
 
Hii ni shida ya Ubinafsi kujiona Bora kuliko wengine!
 
Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi šŸ™ Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi kuajiriwa kwenye baadhi ya kampuni za kuchezesha michezo ya kubashiri miaka ya 2015-2020, baada ya kuacha kazi kwenye hizo kampuni ndio nikakutana na rafiki yangu ambae yeye ni fundi tiles nikajoin nae hadi leo hii āœŒšŸ½.

Katika haya mambo ya ujenzi wa tiles kiukweli pesa ipo pale mnapopata site kubwa hasa majengo ya kampuni au serikali, nakumbuka tulipataga site moja dodoma ilikuwa na square mita zaidi ya elfu 1, na kikawaida tunajenga square mita moja kwa Tsh 5,000/=

Tulifanya hii kazi na kabla hatujamaliza kazi hii tukapata kazi nyingine kutokana na kuonyesha ubora wa kazi šŸ™, Hii ilitufanya tutafute mafundi wengine wa tiles kutoka dar es salaam ili tugawane umasikini kutokana na kazi kuwa nyingi šŸ™, Ilifikia kipindi kazi Dodoma zilikuwa nyingi sanaa kwa upande wetu so tukawa tunauza kazi nyingine kwa mafundi wengine kwa Tsh elfu 3 kwa square mita moja (UKIPATA TOA NA UTAONGEZEWA).

Tulipiga sana kazi hadi tunarudi dar nilikuwa nina milioni 10 top mfuko wa shati šŸ™, Kipindi chote hiki nilikuwa naishi nyumbani tu kwenye nyumba ya urithi Manzese, nilivyorudi na hii pesa niliwaza nifanye biashara ya huduma za kipesa kama mpesa, Airtel money au ninunue hata gari nakumbuka kuna mshkaji mtaani alikuwa na IST yake anaiuza million 8 so niliwaza pia ninunue ili nifanye mambo ya uber , lakini nilishangaa mama akiniambia achana na hiyo biashara kwanza tafuta eneo ununue (kiwanja), kiukweli sikuwahi kufikilia kununua kiwanja au kujenga japo mi mwenyewe nilikuwa nishajiingiza kwenye mambo ya ufundi (tiles).

Nikaona sawa ngoja nifanye anavyotaka tukaenda sehemu moja inatwa mbezi msumi kulikuwa na viwanja vinauzwa tulizunguka sana hiyo siku na madalali hadi mwisho wa siku tulifanikiwa kupata sehemu ambayo tayari ilikuwa imejengwa vyumba vitatu mfano wa( L) yaani kila chumba mlango nje, mwenye ili eneo alikuwa anataka million 5 cash so madalali walikuwa wanataka milioni 6, eneo lilikuwa zuri nikaona sawa hakuna shida tukafanikiwa kununua šŸ™, kiukweli sikuwa na mawazo yoyote ya kununua eneo ila nilinunua tu kwa kufuata ushauri wa mama.

Maisha yakaendelea nakumbuka nilibaki na pesa kidogo hivyo nikasema ngoja nifungue ile biashara ya uwakala wa tigo pesa, nilifanikiwa kufungua hii biashara mtaani tu pasipo kulipia frem yaani nikaweka matangazo barazani meza tu biashara ikawa inaenda kwa mtaji mdogo ambao ulikuwa chini ya million 3 šŸ™, Maisha yakawa yanaenda poa tu Alhamdulilallah kwenye hii biashara nikamuweka wife akawa anafanya yeye, mi nikawa naendelea na mambo yangu ya ujenzi, nakumbuka kipindi chote hiki hakuna mtu yoyote mtaani alikuwa anajua mimi ni fundi tiles maana kazi nyingi sana tulikuwa tunazipata nje ya Dar es salaam........
Upo humu toka mwaka 2016 unakuja kuandika upupu tu kama huu?miaka yote hiyo hukuweza jifunza kuwa na akili? Siri yako wewe iwatese wengine?unajishtukia tu kifala.
 
Mkuu unakua na fujo mda wote why?
 
Sijaona mahali majirani wakiteseka, au kuna muendezo?
 
Ujinga wa Mwafrika ndi huu. Una kazi ambayo tayari umeijulia, inakuingizia hela safi, badala ya kupanuka katika kazi unayoimudu, unafikiria kwenda kununua gari kwa faida yote uingie kwenye biashara ambayo hujawahi kuifanya na wala hujui changamoto zake?

Mie nakushauri utumie hizo Shs 10m kuoa wake wawili!
 
Back
Top Bottom