Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Lidude gani?Makosa ya Manara yamekua ni ya kujirudiarudia mara kwa mara.
lakini pia kumbuka ceo wa Simba Barbara ni lidude flani hivi kuuuuuuuuuubwa sana!
KuuuuuuuuuubwaaaaaaLidude gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata km twanga pepeta, Takadini kaliwa kichwaaa. Lia wee ukichoka, kunywa maji mengi ya uvugu vugu.Ni kwa sababu msema hovyo Manara alimkoromea yule anayejiona ni Rais! Kumbe hajui yeye ni rais tu kama yule rais wa FM Academia.