Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Hili sio tatizo endapo Baba Kayla anatekeleza majukumu yake.Meya yuko bize kuzurura vacation na binti yake, ajabu iliyoje.
Anatekeleza sangapi wakati snapchat anajipost kila siku yuko dubai mara zanzibar yani hatulii..Hili sio tatizo endapo Baba Kayla anatekeleza majukumu yake.
Shida inaanza pale Mkuu wa nchi analalamika jiji chafu.
Alipatajepataje hiyo nafasi?Anatelekeza sangapi wakati snapchat anajipost kila siku yuko dubai mara zanzibar yani hatulii..
DaaahNaomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Kwa imani yake ruksa kumfanya asusaMeya yuko bize kuzurura vacation na binti yake, ajabu iliyoje.
Kama dogo janja tuAlipatajepataje hiyo nafasi?
Ama kweli riziki mafungu sabaKama dongo janja tu
Sio zote ni riziki halali..Ama kweli riziki mafungu saba
Nasikia Kumbi Lomoto alikuwa mgumu kutoa ganji na alikuwa anaziba njia nyingi za mipango, Wajanja ndiyo wakamuweka huyo dogo wajitafunie..Huyo sheta na ndugu yake dogo janja sijui kama wanayajua hata majukumu yao ila ccm
Yani mtajua wenyewe!Huyo sheta na ndugu yake dogo janja sijui kama wanayajua hata majukumu yao ila ccm
Chalamila msafi?Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Mkuu, ukifika mjini kisha dili zikalipa, ni lazima Ujipe Raha. Kujipa Raha ni haki ya msingi sana.Anatelekeza sangapi wakati snapchat anajipost kila siku yuko dubai mara zanzibar yani hatulii..
I love whatever is wrong with him!Mkuu, ukifika mjini kisha dili zikalipa, ni lazima Ujipe Raha. Kujipa Raha ni haki ya msingi sana.
Don't hate the player, hate the game.