Nawauliza tena watu wa Dar es salaam hivi kweli Sheta ni meya wa Jiji la Ilala aka Dar es salaam?

Nawauliza tena watu wa Dar es salaam hivi kweli Sheta ni meya wa Jiji la Ilala aka Dar es salaam?

I love whatever is wrong with him!

Nimejibu tu hoja, binafsi ningezungukwa na totoz sio poa! Ni ku elope mara huku mara kule.. yaani full haters kila nigeukapo😎
Hehehe kwenye Maisha hakikisha hamna kitu kinakutenganisha na kujipa Raha, Life is too short.

Hakuna la maana Shetta anaweza kulifanya kwenye huu mfumo mbovu uliopo kwa sasa, tumuache tu ajipe Raha.

Otherwise akileta nywinywinywi, ataishia kufanywa kama Nchimbi tu. Mfumo unataka ale kwa urefu wa kamba yake.

Msingi ni azingatie tu sheria ya meza, kutokuzungumza wakati wa kula.
 
Hehehe kwenye Maisha hakikisha hamna kitu kinakutenganisha na kujipa Raha, Life is too short.
Kabisaaaa!!!🙌🏾
Hakuna la maana Shetta anaweza kulifanya kwenye huu mfumo mbovu uliopo kwa sasa, tumuache tu ajipe Raha.
Hapo umesema vyema!
Otherwise akileta nywinywinywi, ataishia kufanywa kama Nchimbi tu. Mfumo unataka ale kwa urefu wa kamba yake.

Msingi ni azingatie tu sheria ya meza, kutokuzungumza wakati wa kula.
Umesema vyema! If you can’t beat them join them 😎
 
Ndiyo wakome kukumbatia katiba ya kujua kusoma na kuandika tuu kuwa kiongozi.
 
Ukiona mtu ni mchafu basi tambua ana changamoto ya akili,ukiona mtaa ni mchafu basi tambua wakazi wa hapo wanachangamoto ya akili.
Ukiangalia kwa jicho la mwewe wakazi wengi wa dar kiakili hawapo timamu.
 
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
SERIKALI pumbavu ya Samia na genge la Raia feki ...ndiyo wanao wataka kwenye uongozi watu kama hao ...kwa sababu genge la Raia feki linachukia WAZALENDO NA HADI KUENDESHA KAMPENI YA TOKOMEZA WAZALENDO KWA KUWAUA INAYO ONGOZWA NA WAZANZIBARI NA MASHEKH NA KIKWETE GANG NA ROSTAM AZIZI FAMILI.... ADUI NO 1 WA CCM NA SERIKALI YAKE KWA SASA NI UZALENDO NA WAZALENDO.
 
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Nipo Mwanza, mitaro karibu yote ya mjini imeja matakataka, iwe Natta, Nyerere Road, Barabara ya Vizano maeneo ya Dampo la zamani mitaro imejaa takataka.
Nawaza isiposafishwa Balaa la el nino likifika ni majanga makubwa
 
Back
Top Bottom