Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 820
- 3,618
Hehehe kwenye Maisha hakikisha hamna kitu kinakutenganisha na kujipa Raha, Life is too short.I love whatever is wrong with him!
Nimejibu tu hoja, binafsi ningezungukwa na totoz sio poa! Ni ku elope mara huku mara kule.. yaani full haters kila nigeukapo😎
Kabisaaaa!!!🙌🏾Hehehe kwenye Maisha hakikisha hamna kitu kinakutenganisha na kujipa Raha, Life is too short.
Hapo umesema vyema!Hakuna la maana Shetta anaweza kulifanya kwenye huu mfumo mbovu uliopo kwa sasa, tumuache tu ajipe Raha.
Umesema vyema! If you can’t beat them join them 😎Otherwise akileta nywinywinywi, ataishia kufanywa kama Nchimbi tu. Mfumo unataka ale kwa urefu wa kamba yake.
Msingi ni azingatie tu sheria ya meza, kutokuzungumza wakati wa kula.
Kwani sio mtoto wa ndoa,?Kwa imani yake ruksa kumfanya asusa
Hapo tatizo liko wapi?Meya yuko bize kuzurura vacation na binti yake, ajabu iliyoje.
Walidhani wanawakomesha CHADEMA.Mazafanta!Alipatajepataje hiyo nafasi?
Kwani mkuu wa nchi anataka meya ndiyo akafyagìe?Hili sio tatizo endapo Baba Kayla anatekeleza majukumu yake.
Shida inaanza pale Mkuu wa nchi analalamika jiji chafu.
SERIKALI pumbavu ya Samia na genge la Raia feki ...ndiyo wanao wataka kwenye uongozi watu kama hao ...kwa sababu genge la Raia feki linachukia WAZALENDO NA HADI KUENDESHA KAMPENI YA TOKOMEZA WAZALENDO KWA KUWAUA INAYO ONGOZWA NA WAZANZIBARI NA MASHEKH NA KIKWETE GANG NA ROSTAM AZIZI FAMILI.... ADUI NO 1 WA CCM NA SERIKALI YAKE KWA SASA NI UZALENDO NA WAZALENDO.Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
tunasubiri kizaz chetu GEN-Z, tushike madaraka.Yani mtajua wenyewe!
hatak kusubiri uzeeni tena, ni leoleo.Dogo anaponda mali .....na hataki kelele....hiii nchi watu wana enjoy
Nipo Mwanza, mitaro karibu yote ya mjini imeja matakataka, iwe Natta, Nyerere Road, Barabara ya Vizano maeneo ya Dampo la zamani mitaro imejaa takataka.Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.