Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,559
- 8,318
Unajitia upofu [emoji23][emoji23]Sijaona mchangiaji aliyetoa maoni kukanusha niliyoandika ndani ya mada. Kwa hiyo huwezi kuhitimisha kuwa "...ulichoeleza hakina mashiko."
Unajitia upofu [emoji23][emoji23]Sijaona mchangiaji aliyetoa maoni kukanusha niliyoandika ndani ya mada. Kwa hiyo huwezi kuhitimisha kuwa "...ulichoeleza hakina mashiko."
Post yako haina maana MankaHuna lolote la maana katika mjadala huu. Ni bora niachane na wewe.
Braza shida ya Mwanza kwa kiasi kikubwa ni ushamba, kuna thread niliitoa umu, Mwanza viongozi wamelala mno, mwanza tunahitaji mtu wa kutusemea, mwanza tunahitaji kiongozi wa kuiweka iwe platform, tunahitaji kiongozi mbunifu, kijana aje afanye reform, jiji lipewe hadhi yako.....Tuonyeshe ushahidi wa hilo, la "Nyerere alilipa jina barabara hiyo jina la Kenyatta". Kwa hiyo baada ya kumpa Kenyatta barabara hiyo muhimu mjini Mwanza, Kenyatta akaenda kulipa fadhila kwa kumpa 'uchochoro' mjini Nairobi? Huoni dhihaka hiyo?
Na hata kama ingekuwa kweli, kwamba Mwalimu Nyerere ndiye aliyependekeza ipewe barabara hiyo jina la Kenyatta, barabara hiyo ilikuwa inaishia Igogo, kwa maana ya kuwa mjini na wala sio kwenda hadi mashambani Nyegezi kwa wakati huo. Kwa nini sasa iendelee, itaendelea hadi wapi Shinyanga?
Na kuhusu hili la "Wewe ni mtoto unanukia maziwa mdomoni"; inaonyesha kuwa uzee ulionao haukusaidii kitu kwa sababu hujui kwamba mambo haya yanawekewa kumbukumbu/historia, na hata kama ningekuwa "mtoto" kama unavyodai, hilo lisingekuwa jambo la kuzuia nisijue historia ya mji huo wa Mwanza.
Basi, ngoja nikupe fursa ya kuheshimu 'uzee' wako: tueleze hiyo barabara kabla ya kuitwa Kenyatta ilikuwa na jina gani?
Nyerere road ipo kwenye nchi nyingi za Africa, nashangaa mnao uliza kuhusu Kenyatta road ya Mwanza. Nyerere Road, Mombasa Kenya, Nyerere drive, Botswana, Nyerere Road Zambia, Julius Nyerere way Zimbabwe, Nyerere Drive road, Kabale Uganda, Mwalimu Julius Nyerere Peace & Security Building Ethiopia, Nyerere Road Kaduna, Nigeria. Julius Nyerere Road Ghana, Julius Nyerere Student accommodation, Pretoria South Africa,Ukishangaa hayo utayaona ya barabara ya Ikulu Magogoni inaitwa Barack Obama Rd. Hii ndo TZ isiyojielewa.
Unaweza kuta (sina uhakika) Kenya nzima hakuna barabara inayoitwa Nyerere.
Nyerere road ipo kwenye nchi nyingi za Africa, nashangaa mnao uliza kuhusu Kenyatta road ya Mwanza. Nyerere Road, Mombasa Kenya, Nyerere drive, Botswana, Nyerere Road Zambia, Julius Nyerere way Zimbabwe, Nyerere Drive road, Kabale Uganda, Mwalimu Julius Nyerere Peace & Security Building Ethiopia, Nyerere Road Kaduna, Nigeria. Julius Nyerere Road Ghana, Julius Nyerere Student accommodation, Pretoria South Africa,
Wewe unatokea wapi mpaka uwaite watu wa Mwanza wahamba ? Si ajabu unatokea mfaranyaki au Tarakea halafu unajiita wa mjiniBraza shida ya Mwanza kwa kiasi kikubwa ni ushamba, kuna thread niliitoa umu, Mwanza viongozi wamelala mno, mwanza tunahitaji mtu wa kutusemea, mwanza tunahitaji kiongozi wa kuiweka iwe platform, tunahitaji kiongozi mbunifu, kijana aje afanye reform, jiji lipewe hadhi yako.....
Barabara ya Makongoro...?
Barabara ya Nyerere mara Nyanguge Road sijui ndo nini...¿¿
Barabara ya kwenda Bugando inaitwa Welzburg Road Sijui ndo nani....??
Shinyanga Road ndo iyo iyo Kenyatta Road sijui inaishia wapi au ndo mpaka usagara...
Waziri mkuu alitoa fursa barabara na mitaa ziwekwe vibao hii ilkuwa fursa Mwanza sasa ipewe majina yenye hadhi za kuelewekaa...ila awakuitumiaa
Nilidhani una hoja nzito eti, kumbe unalilia jina [emoji23][emoji23][emoji23]Braza shida ya Mwanza kwa kiasi kikubwa ni ushamba, kuna thread niliitoa umu, Mwanza viongozi wamelala mno, mwanza tunahitaji mtu wa kutusemea, mwanza tunahitaji kiongozi wa kuiweka iwe platform, tunahitaji kiongozi mbunifu, kijana aje afanye reform, jiji lipewe hadhi yako.....
Barabara ya Makongoro...?
Barabara ya Nyerere mara Nyanguge Road sijui ndo nini...¿¿
Barabara ya kwenda Bugando inaitwa Welzburg Road Sijui ndo nani....??
Shinyanga Road ndo iyo iyo Kenyatta Road sijui inaishia wapi au ndo mpaka usagara...
Waziri mkuu alitoa fursa barabara na mitaa ziwekwe vibao hii ilkuwa fursa Mwanza sasa ipewe majina yenye hadhi za kuelewekaa...ila awakuitumiaa
Kwa mtu kilaza kama wewe, ni kweli ulichoandika.Post yako haina maana Manka
Wewe una maslahi gani na jina hilo, au wewe ni mjukuu wa Kenyatta? Maana unaonyesha mada imekugusa sana.Nilidhani una hoja nzito eti, kumbe unalilia jina [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika wewe ni mbugila sana
Fanya kazi acha kupiga kelele humu
Kenya (Nairobi) Mwalimu kapewa mtaa wa uchochoroni, ujue ni kiasi gani cha dharau waliyonayo hao jamaa; halafu hapa Kenyatta anapewa barabara Kuu kabisa inayoingia mjini, kwenye jiji ambalo litakuwa la mvuto mkubwa katika ukanda mzima wa eneo hili.Najua Nyerere ipo sehemu nyingi sikua na uhakika na Kenya.
Ni kweli, lakini wasiojua hawajiulizi kwa nini iko hivyo.Nyerere road ipo kwenye nchi nyingi za Africa, nashangaa mnao uliza kuhusu Kenyatta road ya Mwanza. Nyerere Road, Mombasa Kenya, Nyerere drive, Botswana, Nyerere Road Zambia, Julius Nyerere way Zimbabwe, Nyerere Drive road, Kabale Uganda, Mwalimu Julius Nyerere Peace & Security Building Ethiopia, Nyerere Road Kaduna, Nigeria. Julius Nyerere Road Ghana, Julius Nyerere Student accommodation, Pretoria South Africa,
Mkuu 'KASULI', mimi nisingependa kuwavisha lebo hiyo ya "ushamba", kwani najua humo ndani wamo viongozi wazuri; wanachokosa inawezekana ni mwamko wa wananchi wa Jiji hili, ambao ndio maboss wao..Braza shida ya Mwanza kwa kiasi kikubwa ni ushamba, kuna thread niliitoa umu, Mwanza viongozi wamelala mno, mwanza tunahitaji mtu wa kutusemea, mwanza tunahitaji kiongozi wa kuiweka iwe platform, tunahitaji kiongozi mbunifu, kijana aje afanye reform, jiji lipewe hadhi yako.....
Barabara ya Makongoro...?
Barabara ya Nyerere mara Nyanguge Road sijui ndo nini...¿¿
Barabara ya kwenda Bugando inaitwa Welzburg Road Sijui ndo nani....??
Shinyanga Road ndo iyo iyo Kenyatta Road sijui inaishia wapi au ndo mpaka usagara...
Waziri mkuu alitoa fursa barabara na mitaa ziwekwe vibao hii ilkuwa fursa Mwanza sasa ipewe majina yenye hadhi za kuelewekaa...ila awakuitumiaa
Pengine hukunisoma vizuri toka mwanzo, mkuu wangu 'Mwanamageuko'.Mkuu umesahau pia hata Dar kuna "mtaa" wa Kenyatta? Nadhani watanzania si wana Mwanza pekee tunahitaji zaidi kuliko "HAYO MAJINA YA MITAA" maana hayana athari katika maendeleo yetu tunayohitaji. Hebu tutazame viwanja vyetu vya mpira kama vile "Kambarage Shinyanga, Amri Abeid Arusha, Kawawa Kigoma" je vinafanana na hadhi ya wenye majina?
Viongozi wa zamani hata sasa walitoa Barabara kuitwa majina ya viongozi wa nchi nyingine kwa kuzingatia uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbilli. Swali kwa nini waliita Kenyatta mwenye jibu sahihi ni JK Nyerere mwenyewe. Mkianza kuhoji kwa nini iitwe Kenyatta kuna wanaijeria na wagana wataanza pia kuhoji kwa nini barabara zao ziitwe Nyerere badala ya Chibuzor. Kwani Nyerere kaifanyia nini Ghana?Ni kweli, lakini wasiojua hawajiulizi kwa nini iko hivyo.
Yote hiyo ni kutokana na heshima anayopewa kutokana na juhudi za uongozi wake. Sasa hapa Jiji la Mwanza linamzawadia Jomo Kenyatta barabara kuu kabisa Jijini humo kwa heshima zipi alizojizolea katika uongozi wake?
Hili ndilo swali linalotakiwa kujibiwa na hao viongozi. Licha ya hivyo, kwa nini barabara ndefu kiasi kile apewe yeye pekee? Hawa viongozi wanauhusiano wowote na Jomo mwenyewe, familia yake au nchi aliyotawala?
Nianzie mwisho wa hoja yako:Viongozi wa zamani hata sasa walitoa Barabara kuitwa majina ya viongozi wa nchi nyingine kwa kuzingatia uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbilli. Swali kwa nini waliita Kenyatta mwenye jibu sahihi ni JK Nyerere mwenyewe. Mkianza kuhoji kwa nini iitwe Kenyatta kuna wanaijeria na wagana wataanza pia kuhoji kwa nini barabara zao ziitwe Nyerere badala ya Chibuzor. Kwani Nyerere kaifanyia nini Ghana?
Hata barabara nzima Mwanza-Shinyanga ikiitwa Milambo bado haikuletei ugali mezani. Ndio ipo hivyo cha muhimu tuongelee kuboresha miundo mbinu ya jiji la Mwanza tu.Nianzie mwisho wa hoja yako:
Sina tatizo kabisa iwapo wa'Nigeria' wenyewe watahoji kwa nini barabara zao zipewe jina la Nyerere. Hiyo ni haki yao wakifanya hivyo. Watahoji, na miongoni mwao watakuwepo watakaotetea uwepo wa jina hilo kutokana na heshima za uongozi alizokuwa nazo Nyerere, sio hapa Tanzania pekee, bali sehemu mbalimbali duniani.
Baada ya mjadala huo wa wa'Nigeria', wataamua wenyewe, pengine kwa kutumia demokrasia kati yao kwa kupiga kura. Sioni tatizo lolote hapo.
Hata kama Nyerere hakuifanyia chochote moja kwa moja Ghana, lakini anaheshimika kwa juhudi zake katika ukombozi na katika mchango wake kwenye umoja wa Afrika. Jomo alifanya jambo gani katika hayo yote?.
Ninakubaliana na wewe kuhusu kutoa "Barabara kuitwa majina ya viongozi wa nchi nyingine kwa kuzingatia uhusiano uliopo/uliokuwepo baina ya nchi hizo mbili."
Nimeeleza kwenye mada niliyoweka, kwamba, hata kama jina la barabara husika litabaki kuwa Kenyatta Rd, urefu wa barabara hiyo ubakie katika mipaka ya mji wa Mwanza kama ulivyokuwepo wakati huo Mwalimu Nyerere akimzawadia Kenyatta barabara hiyo. Hoja yangu sasa ni sababu zipi zinafanya barabara iendelee kutanuka na jina lile lile; ina maana mji wa Mwanza utakapokuwa umetanuka hadi kukaribia Maganzo, barabara hiyo itaendelea kuwa na jina la Kenyatta kote huko?
Mwalimu alikuwa na nia njema kabisa ya kuiita hiyo barabara Kenyatta Road, kwa sababu alithamini ushirikiano kati ya nchi za Afrika Mashariki, lakini pamoja na dhamira hiyo, sote tunajua kwamba Jomo Kenyatta na Kenya yake hawakuwa na 'commitment' na umoja huo, mbali ya kuutumia kwa manufaa yao na waliokuwa/wanaoendelea kuwatumia kama makao yao makuu ya kuchuma toka nchi zote hizo.
Kenyatta hakuwa na urafiki wowote na Mwalimu Nyerere, pamoja na kwamba Mwalimu alimpa nafasi ya kutambua thamani ya urafiki aliompa.
Unakosea sana.Hata barabara nzima Mwanza-Shinyanga ikiitwa Milambo bado haikuletei ugali mezani. Ndio ipo hivyo cha muhimu tuongelee kuboresha miundo mbinu ya jiji la Mwanza tu.