Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,169
- 6,183
Sasa si uwafuate wahusika huko maofisini. Sisi hapa JF tukusaidieje?Unakosea sana.
Hili sio swala la "kuniletea (mimi) ugali mezani". Unapotoa hoja kama hiyo ni kuonyesha jinsi usivyoelewa maana kwa nini mambo kama haya hufanyika duniani kote. Ni ishara ya kutokuwa na hoja na ufahamu wa jambo lenyewe.
Hakuna popote nilipoandika kuhusu kuzuiwa "kuboresha miundombinu ya jiji la Mwanza", hayo unayaweka wewe usiyejua maana ya jambo linaloongelewa kwenye mada hii.