Sasa si uwafuate wahusika huko maofisini. Sisi hapa JF tukusaidieje?Unakosea sana.
Hili sio swala la "kuniletea (mimi) ugali mezani". Unapotoa hoja kama hiyo ni kuonyesha jinsi usivyoelewa maana kwa nini mambo kama haya hufanyika duniani kote. Ni ishara ya kutokuwa na hoja na ufahamu wa jambo lenyewe.
Hakuna popote nilipoandika kuhusu kuzuiwa "kuboresha miundombinu ya jiji la Mwanza", hayo unayaweka wewe usiyejua maana ya jambo linaloongelewa kwenye mada hii.
Unaona sasa unavyokengeuka?Sasa si uwafuate wahusika huko maofisini. Sisi hapa JF tukusaidieje?
Au nilichopost sio sehemu ya mjadala?Unaona sasa unavyokengeuka?
Hujui maana ya mijadala kuletwa hapa JF? Mbona unajishusha hadhi kiasi hiki!
kilaza wewe unayelialia hapa kwa nini barabara inaitwa Kenyatta, ulitaka iitwe jina la bibi yako?!Kwa mtu kilaza kama wewe, ni kweli ulichoandika.
Nilishamalizana nawe mpuuzi.kilaza wewe unayelialia hapa kwa nini barabara inaitwa Kenyatta, ulitaka iitwe jina la bibi yako?!
Mpuuzi ni wewe unayeleta mada za kipuuzi hapa. Serikali za Nyerere, Mwinyi, mkapa, kikwete na Magufuli ziliona na zinaendelea kuona barabara iitwe Kenyatta. Afu wewe umeshiba makande ya kwa mtogole unakuja na kupingaNilishamalizana nawe mpuuzi.