Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Mwalim: Issa utaniambia leo huyo Asha unauhusiano gani naye?
Issa : Ah Asha mimi ni kama demu wangu tu kinaaa hapa shule ni mwanafunzi mwenzangu
mwalim; Eboo! wewe usililetee mambo ya kijinga hapa darasani. uongee lugha sahihi sio maneno ya kifalafala. tena usinizingue naweza kuliripua hili hadi kwa dingi wako shwaaaaain we.