Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

Tme will tell , sisi tunatoa tip tu , ni juu yako kuchanganua
 
Nafikiri kusema ni juu yangu utakuwa umekosea sana mimi nimepata muda wa kupitia maelezo na ukifananisha na hali ilivyo sasa naona ipo haja ya kwenda kwenye mfumo mwingine
"muda ndio msema kweli"
 
ukitaka kujua uwekezaji huu ni magumashi hebu jishughulishe kutazama akaunti ya simba ina bei gani , au angalia simba inazalisha nini .

Hii maana yake ni kwamba Mo akipata matatizo yoyote ya uchumi basi simba imekwisha
Kwamba simba hawakuviangalia hivyo vipengele ni mazuzu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…