Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
Amekuwa mtu wa kwanza kuinunua timu ya Simba...
 
Mo ni mtaakamu wa kuchukua timu ikiwa Ligi kuu n'a kuishusha daraja. Mifano ni Singida untd kipindi akiwa mbunge wa singinda n'a mfadhiri wao mkuu aliishusha. Pia alinunua African Lyon ikiwa ligi kuu, akaishia kuishusha daraja, sasa n'a Simba tunamsubiri afanye vilevile.
unamfukuza kocha aliyekupa ubingwa kwa visingizio vya kinafiki kumbe unataka makocha utakaoweza kuwakopa mshahara !
 
Mo ni mtaakamu wa kuchukua timu ikiwa Ligi kuu n'a kuishusha daraja. Mifano ni Singida untd kipindi akiwa mbunge wa singinda n'a mfadhiri wao mkuu aliishusha. Pia alinunua African Lyon ikiwa ligi kuu, akaishia kuishusha daraja, sasa n'a Simba tunamsubiri afanye vilevile.
Hata simba ameishusha daraja mwaka huu huku yanga wakiwa mabingwa
 
Simba ilidima Miaka 5 bila Ya Ubingwa!! Sasa Kaja Mo Dewji Tumebeba Ubingwa! Wachawi Wenye Akili Za Yule Mzee Wa Kule Jangwa Alietaka Kuzuia Mkutano Wa Yanga Leo Wanaanza Kuleta Unoko Wao.

Sasa Si Mungekwenda Kuinunua Nyie Hiyo Simba.

Hivi Kwa Timu Za Kwetu Tanzania Munataka Mafanikio Gani Zaidi Ya Kubeba Ligi Kuu??
Au Mumeshawahi Kusikia Timu Ya Tanzania Kubeba Kombe CAF champion League Hata kabla Ya Kuja Huyo Dewji??

Tuweni na Shkurani Jamani Mo Katufanya Tubebe Kombe Tuliloliona Kwenye TV Kwa Muda Wa Miaka 5..

Ukweli Usiofichika Ni Kuwa Kuna Wanoko Wamechukia Simba Kubeba Ubingwa Wa [HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] Msimu huu, Sasa Wanapiga Majungu ili tudime tena Miaka 5 ijayo bila ya Kuubeba
 
Mmebeba ubingwa kwa sababu ya matatizo ya Yanga si kwa ubora wa Simba chini ya Mo
 
Bora mwaya umewaza mbali kwa kuwauliza wana Simba wenzako vitu vya msingi kabisa ili siku yakiwakuta msitafute mchawi. Wakujibu sasa waache kukuzodoa.

Wale mliokuwa mnapiga mavuvuzela juzi njooni huku mjibu hoja za msingi.
kwa uelewa wangu mdogo naona sasa simba ipo kwenye mikono salama kabisa...mambo ya hisa ni kama mkataba ambao simba imeingia na mo..hvyo mambo yote yatakwenda ki digital tofauti na mwanzo ambapo alikuwa akifadhili pesa bila kujua atafaidika vp..naamini sasa mo na simba watakuwa mezani kuweza kucalculate mambo tofauti na mwanzo mambo yalivyo endeshwa kiholela...nafikiri hata yanga wana takiwa kufanya jambo hili..yanga ni brand kubwa sana...lakini kina mzee akilimali wanairudisha nyuma..dunia iko mbali mno..mambo ya hisa ndio mpango mzima..wazee kama akilimali na wale friends of simba wanarudisha sana timu nyuma..hata mo na manji kwa namna moja walizirudisha timu nyuma pasipo kufaham..nakumbuka kuna baadhi ya watu wa friends of simba baaya ya timu kupewa pesa za kumuuza okwi wao wakazichukua na kusema wanaidai simba lakini hawakutaja kiasi..jaribu kufikiri watu waliikopesha simba bila maandishi????? manji na mo wanatakiwa kumiliki hisa kwa asilimia fulani na wanachama kumiliki asilimia fulani huku mwenye hisa nyingi walau anakuwa na sauti kiasi...simba wameanza naomba na yanga wafuate mfano huu

ila nawakumbusha yanga kuwa makini sana kwenye mikataba hii ya hisa..viongozi wetu wamekuwa wabovu sana kwenye mikataba..cjui simba katika mgwanyo wao wa hisa na mo wamewekeana vipengele gani lakini natumai wtakuwa wameweka vipengele vinavyoendana na mikataba ya kisasa...
 
Wewe uliwah fanikisha lipi kwa simba? Au thread yako ipi ilifanikisha jambo humu JF? mbona bado unaendelea tu kupost?
 
Moja ya kufanya mabadiliko ni ku risk hakuna jambo lolote ambalo unaweza fanya na hasa kwenye uwekezaji bila ku risk

So mimi na fikiri kama Simba wamehitaji kuendelea au kubadilisha mfumo wa uendeshaji shughuli za club ni lazima wakubali ku risk

Ukisema Mo alishindwa kuendesha vilabu fulani ambavyo alikuwa ana miliki,sidhani kama kwenye mfumo wa kibiashara hili ni kigezo, watu walio fanikiwa kwenye biashara ukipata ushuhuda wao utafahamu hawakufanikiwa bila ku fail mara kadhaa kwa kuwa ku fail ni moja ya njia ya kujisahihisha

Je uwekezaji wa Mo unafaida au hauna faida?

Simba kwa zaidi ya miaka 80 ya uhai wake umekuwa na mafanikio machache sana nayo ni umiliki wa majengo kariakoo na uwanja wa mbweni sasa kama timu imekuwa chini ya mfumo mmoja ndani ya miaka 80 na mfumo huo umeshindwa kuleta mabadiliko yoyote zaidi ya kutegemea michango ya wanachama wenye uwezo kuendesha timu na mali zake kwa aina hii ya uendeshaji ndio maana wanachama wengi na mashabiki wameona ipo haja ya ku risk kwenda kwenye mfumo ambao dira yake inaonekana kuliko hizi za kufikirika.

Sasa je Mo na wana Simba watafanikiwa? Hali ni jambo la wakati tuwape muda miaka 80 wamevumilia hivyo hakuna ugumu kusubiri miaka 5 , lakini pia tuwe na tabia ya kuheshimu mawazo ya wenzetu kwenye mambo kuwita mtu majina kama tapeli,ponjoro, na maneno kama hayo sidhani kama ni vizuri njia nzuri ya kuonyesha upenzi wako kwenye Simba ni kwenda kuwa mwanachama, kulinda heshima ya simba kwa kununua bidhaa za simba,kwenda uwanjani kushangilia, kuhudhuria vikao kama vipo na mambo kama hayo kufananisha realmadri au barcelona na simba kuwa zote ni timu za wanachama ni kujitekenya na kucheka mwenyewe mazingira ya vilabu hivyo yamesha jengwa kwenye mfumo wa kujiendesha kwa zaidi ya miaka 100 wakati sisi vilabu vyetu ni vya kuzungusha bakuli na mara nyingine mwanachama anataka kupewa gate collection.

Na shida kubwa za vilabu vyetu vina faidisha wanachama wachache sans na wengine wengi hawafaidi jambo lolote ndio maana unaona kina mzee Kilomoni, au Akilimali wana kuwa watata but haki ya uwanachama upo kwenye level moja uweumejiunga leo au miaka 50 iliyo pita sasa kuna watu wanataka uwepo wao kuwa ndio umiliki wa timu hawataki mawazo yao kupingwa na hii ndio imesukuma vilabu hivi wanachama wapya wa miaka hii ya karibuni kuomba mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ili kuweka level moja ya uwanachama wao na siyo kuwe na mtu au kundi la watu wao ndio wana master matakwa yao kuendesha timu.
 
ukitaka kujua uwekezaji huu ni magumashi hebu jishughulishe kutazama akaunti ya simba ina bei gani , au angalia simba inazalisha nini .

Hii maana yake ni kwamba Mo akipata matatizo yoyote ya uchumi basi simba imekwisha
 
Ni ngumu sana kujadili kitu ambacho hujakiona wala kisoma napata shida kujadili hili, lakini ufahamu uwekezaji wa Mo kwa Simba siyo wa mtu ni kampuni so hata kama Mo akifa still mkataba utabaki mpaka miaka mitano ndio utakuwa unapaswa kujadiliwa upya uvunjifu wa mkataba huu pande zote zitahitaji kulipa.

Pili pesa za uwekezaji wa mtaji wa 20b huu hautolewi kidogo kidogo na fikiri hufahamu kuwa hizi zitatolewa wakati tu atakapo kabidhia timu na imeonyesha jinsi gani pesa hizo zitakwenda kufanya kazi na hizi siyo za kulipa mshahara na gharama nyingine hizi zitakuja kupata faida yake ndani ya miaka mitano.

Mwisho ukisema nitazame account za simba sijui watafuta point gani huko mtaji wa simba siyo pesa coz hazipo, ila mtaji wao ni brand,fun base,propertise na wanachama sasa hii ndio wana value na inakupa thamani ya klabu siyo pesa walizo nazo kwenye account

Hata wewe leo hii ukitaka kufanya tathimini yako huwezi kuhesabu pesa ulizo nazo kwenye account but watu wanatazama properties zako na ubunifu wako ndio wana value thamani yako
 
Back
Top Bottom