Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

Swali lingine la msingi. Wamepaje thamani ya Simba hadi waseme billion 20 ndiyo 51%

Mtu akija Yanga lazima ifanyike valuation kwanza
Hamna mwekezaji atakuja yanga,labda Ibrahim akilinywele
 
Namba 4 : Kwanini baada ya Bakhresa kujitokeza ikawa KASHESHE ? sasa kwa taarifa yako bakhresa na wengine waliojitokeza ambao wako 7 walinyimwa kabisa ushirikiano na walihujumiwa kwa maelekezo maalum.

Unajua hata mifumo ya manunuzi au zabuni huwa kuna provisions zinawekwa za upendeleo maalumu. Kwa mfano, upendeleo maalumu utafanywa kwa wazawa au raia wa eneo fulani, kwa asilimia fulani.

Yule MO amewahi kuisaidia timu katika hali ambayo simba yenyewe isingejiweza, au hata friends of simba au kina Hanspope wameshajitoa muhanga sana kutumia mali zao binafsi kwa ajili ya timu kienyeji enyeji bila uhakika wa ku re-cover pesa zao.

Ikitokea mabadiliko ya kwenda kimpangilio huwezi kuweka playing field ikawa sawa kabisa kwa sababu kuna fadhila ambazo inabidi kuwa considered.

Sasa mimi naamini ingekuwa si uungwana umdharau aliyekusaidia in need kwa kutumia procurement requirements but rather, uweke provision itakayo rahisisha yeye kupata.

Afterall, hata hiyo 20 billion ni value iliyobase kwenye provisional income, so long as Simba hawawezi ku raise hiyo pesa wala hawana mbinu, weledi na mfumo wa kiutawala wa kuhakikisha kuwa wataweza kuzirudisha, ni busara kumpa mzoefu wa biashara na utawala akaifanya hiyo bora mifumo iwe wazi.

Sasa why MO and not others, Zimwi likujualo halikuli lika....Better the devil you know than the Angel you don't know.
 
Ww unavyoona vitu atakavyofanya mo kwa brand name ya simba vitaenda kununuliwa na mashabiki wa yanga?
Kwani mtu ambaye si mshabiki wa Yanga au Simba kununua nguo aliyoipenda yenye brand name ya Simba itamkwaza nn?
 
Unajua hata mifumo ya manunuzi au zabuni huwa kuna provisions zinawekwa za upendeleo maalumu. Kwa mfano, upendeleo maalumu utafanywa kwa wazawa au raia wa eneo fulani, kwa asilimia fulani.

Yule MO amewahi kuisaidia timu katika hali ambayo simba yenyewe isingejiweza, au hata friends of simba au kina Hanspope wameshajitoa muhanga sana kutumia mali zao binafsi kwa ajili ya timu kienyeji enyeji bila uhakika wa ku re-cover pesa zao.

Ikitokea mabadiliko ya kwenda kimpangilio huwezi kuweka playing field ikawa sawa kabisa kwa sababu kuna fadhila ambazo inabidi kuwa considered.

Sasa mimi naamini ingekuwa si uungwana umdharau aliyekusaidia in need kwa kutumia procurement requirements but rather, uweke provision itakayo rahisisha yeye kupata.

Afterall, hata hiyo 20 billion ni value iliyobase kwenye provisional income, so long as Simba hawawezi ku raise hiyo pesa wala hawana mbinu, weledi na mfumo wa kiutawala wa kuhakikisha kuwa wataweza kuzirudisha, ni busara kumpa mzoefu wa biashara na utawala akaifanya hiyo bora mifumo iwe wazi.

Sasa why MO and not others, Zimwi likujualo halikuli lika....Better the devil you know than the Angel you don't know.
Good clarification but swali kwa nn waliruhusu kufanya procurement process wakati wana mtu wao wanayemlipa kumpa timu kutokana na fadhila zake? Hii ni sawa na kuitisha interview ya kazi wakati mlengwa wa kupewa kazi anajulikana. Ni kuchoshana kwa kwenda mbele!!!!
 
Asante kwa kiingereza kizuri , lakini kwa maelezo yako ina maana kwamba mchakato huu ulikuwa na lengo la kumlipa fadhila tajiri Mo kwa wema wake alioutenda , kwanini mliidanganya dunia kwamba kuna Zabuni ?
 
Asante sana kiongozi .
 
mimi napinga timu za wanachama kuuzwa kwa bepari mmoja.

hivi hamjiulizi barcelona na madrid kwanini haziuzwi ?

hivi hamjiulizi kwa nini ilipouzwa manchester united mashabiki wakaenda kuanzisha FC united of manchester?
Nani aliyekwambia ameuziwa?!
 
Swadakta ! Unakijua kisa cha kuwa peke yake ?

Huu ni uzi fukunyuzi usije macho juu .
Majungu tu, ulikuwa wapi wakati wanafanya fitna kipindi cha mchakato usilete habari hapa. Eti unasubiri zoezi likamilike ndio unakuja kupiga kelele hapa. Si bure utakuwa ulitoswa kitu kwenye huu mchakato.
 
Asante kwa kiingereza kizuri , lakini kwa maelezo yako ina maana kwamba mchakato huu ulikuwa na lengo la kumlipa fadhila tajiri Mo kwa wema wake alioutenda , kwanini mliidanganya dunia kwamba kuna Zabuni ?
We siyo Simba, hapa umejifunga mwenyewe. Endelea kupayuka!
 
Mkuu, hayo yote kwa nini asifanye Mbagala Market au Singida United.
Hapo Simba hata Bakhresa palimshinda kaanzisha Azam yake.
Bakhressa ilimshinda kwasababu ya namna ya system ya uendeshaji ilivyokuwa na hivyo hivyo kwenye hizo timu nyingine alizotoka.
Mara nyingi wamekuwa wakitoa pesa zao mwisho wa siku hakuna linalofanyika na ukiweka ngumu kutaka kusimamia watu wanakuja juu wanajiita wenye timu, ndiyo maana aliziacha.
Kwa kuliona hilo ndiyo lilikuwa tatizo ikabidi apendekeze utabilishwaji wa muundo wa kuendesha timu uwe wa kisasa ambapo fedha zake zitasimamiwa ipasavyo na pande zote mbili zitanufaika.
 
Nilikuwa natania tu.
Mfumo mpya unaweza kuwa mzuri kama utafanywa vizuri na kupewa watu stahiki. Experience ya Mo Mbagala Market na Singida United inaonyesha mashaka makubwa. Akiwa fed-up mwaka tu, ataiuza to the highest bidder.
Kilichomshinda kule ni namna timu zilivyokuwa zinaendesha, mfumo wa uendeshaji haukuwa rafiki.
 
Bakhressa ilimshinda kwasababu ya namna ya system ya uendeshaji ilivyokuwa na hivyo hivyo kwenye hizo timu nyingine alizotoka.
Mara nyingi wamekuwa wakitoa pesa zao mwisho wa siku hakuna linalofanyika na ukiweka ngumu kutaka kusimamia watu wanakuja juu wanajiita wenye timu, ndiyo maana aliziacha.
Kwa kuliona hilo ndiyo lilikuwa tatizo ikabidi apendekeze utabilishwaji wa muundo wa kuendesha timu uwe wa kisasa ambapo fedha zake zitasimamiwa ipasavyo na pande zote mbili zitanufaika.

Mkuu unafanya makusudi au ni kuwa hujuhi?

yani mnaongopea au mnaongopewa kuwa kilichofanyika ni kuendesha timu kisasa ili mapato ya simamiwe.

Labda nikusaidie, TIMU IMEUZWA NA KUANZIA SIKU HIYO NI MALI YA MO full stop. wengine wote watakao kuja ni wanhisa wenzie mkiwemo wanchama mtakao pewa hisa zile 10% za bure.

Akitakacho yeye ndiyo kitakuwa.
Mimi mshabiki wa Arsenal Knonke anamiliki 35+% na ndio msemaji w amwisho na wengine hawashirikishwi hata kwenye maamuzi, maana yeye ndiye mwenye hisa nyingi.
 
Mpira wa sasa ivi ni pesa asikudanganye mtu, na wala sio kuuza timu na ndio maana wamegawana hisa, ingekuwa ni kuuza hisa zote angechukua Mo kama unakumbuka vzr yule mwarabu wa U.A.E aliyetaka kuichukua Liverpool miaka ile alitaka hisa asilimia 90 liverpool ikagoma kwani madhara yake akifilisika na club inakuwa inakuwa mufilisi lakini kwa izo asilimia wala sio mbaya kwa anayejua mpira

Waliopo sasa hapo Liver pool wanahisa ngapi?
je wajua kinachoendela liverpool?

je Arsenal unajua aliyepo anahisa Ngapi?
na unajua tunapata mateso gani kwa kuw ana huyu jama apale Arsenal?

turudi Bongo, unajua maana ya hizo 50%?
unajua kuaniza siku mtakayo mkabishoi rasimu, hutakuwa tena na nguvu ya kuhoji lolote zaidi ya yaliopo kwenye mkataba tu ? na kuwa kuanzia siku hiyo timu sio yenu tena ni mali ya MO.
 
Back
Top Bottom