Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,167
Reaction score
24,129
Najua tunawapenda sana wanawake/wapenzi zetu lakini kuna vitu hadi na leo hii kuna baadhi ya wanaume hawavijui achilia mbali kuvifanya kwa wapenzi zao, kuna mambo mawili magumu yanayowashinda wanaume wengi (si wote) kama

1. Kufua nepi za mtoto zenye kinyesi
2. Kumfunga nepi mtoto (nikikumbuka hii najichekaga sana)
3. Kumuwekea mpenzi/mke wako pedi kwenye chupi yake.

Hizo ngoma 3 hapo juuu ni ngumu asee mwanaume bora umwambie akabebe zege atajitahidi ila sio hizo vitu hapo juuu,Kwa upande wangu mimi kusema ukweli pedi najua weka tena najua vizuriiiii step zote A mpk Z na sijaishia hapo wazeee,Najua hadi zipoje poje zikikaa kwenye papuchi 🤦‍♂️

IMG_7050.JPG

Hizi HQ najua zina kaubaridi flani hivi amaizing mno 🤣 kina mama mnanielewa najua,kale ka ubaridi msio ujua ni mfano ukila pipi kali bwana wee raha yake twaijua sie.

Turudi kwenye mada pale juu, mwanaume umeshawahi m'badilishia mwenzako pedi? Ilikuaje? Nani alikufundisha? huwa unajisikiaje unapofanya hivyo?

Nadhani kama hapa ndio mwisho wa thread hivi

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
looh!
Hongera kwa kutuamsha. tatizo haliko kwetu mtumishi mwaminifu, ila kinachochagiza waume wengi wasiwasaidie wake zao majukumu ya nyumbani ni tabia ya wanawake kuanza kujitangaza kwa mashost kuwa wanasaidiwa hivi sijui vile na hapo jamii kujikuta inamchukulia mwanaume km mtu dhaifu aliyekubuhu.

Zaidi wanawake humnanga mumewe kuwa kapewa limbwata. baadhi ya wanawake wataanza kumzonga huyo bidada awape ujanja au awaambie kizizi gani anatumia

Pia mwanamke akizoezwa kusaidiwa hujikuta akimpa zamu mwanaume. leo hupiki, au utasikia baba nanii nisaidie basi unibandikie maji ya ugali mpenzi, nataka nijiandae haraka nikamsaidie shost yangu ama kishughuli.

Kimsingi turudi kwenye maagizo ya maandiko, kuwa "nitakufanyia msaisizi"
 
robert sendabishaka,

Mimi aende tu kunitangaza popote akitaka,nitamfanyia kila kitu sitoacha maana hamna hata siku 1 nitasikia huko mtaani wakinisema, wataniona saa ngapi?

Natoka wakiwa wamelala narudi wakiwa wamelala,nayasikiaje hayo mashudu yao? wao waseme tuu ila kwa huyu mpenzi wangu akitaka kujua mimi sio "bwege" ayavagae au anichanganyie mada siku moja. Ki ufupi wananielewa ndio mana hata nikiwazibua wanajua "ni haki yao"
 
haha kweli umemaliza, nimesemea akina yakhe tunaokaa na jamii 24/7.

japo naamini kila dereva na staili yake ya uendeshaji.
hao wakaa na jamii 24/7 haoo aseee ipo day 1 ntawaamshia thread yao

wanazingua kinoma noma yani,na ndio matatizo yote kwenye ndoa yanaanziaga hapo.

hii mambo ya ujirani ujirani ushost ushost urafiki urafiki yaniiiii sipend hyo tabia kabisa.
 
Shida ya mwanamke ndio hio, ukimzoesha kumsaidia ishu flani tu anaanza kukupangia zamu au anakuachia jukumu kabisa 🤣🤣🤣!

Usipofanya hivyo anakununia kabisa yani😄😄😄
mimi namwambiaga kabisa,bwana usije ukaponyokwa na huo mdomo

ukaniambia nipike,nipige deki,nk nk yani ukijiskia kuniambia hivyo hakikisha

upo hospital umelazwa mkono una drip 4 ila kama unajijua wewe n mzima pambana na majukumu yako.
 
Hapana mkuu sio mwanamke tu hata waume pia akija na gari yake ukamwambia usijali mpz ntakusaidia kuipack.. na siku nyingine atataka umsaidie..

Hata kwa ma beki3 ukimsaidia mara mbili tatu anaona unapika vizuri atakuja na gear mama na leo tupikie kile chakula chako kitamu!!!
Shida ya mwanamke ndio hio, ukimzoesha kumsaidia ishu flani tu anaanza kukupangia zamu au anakuachia jukumu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Usipofanya hivyo anakununia kabisa yani[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nimecheka hapo kwenye HQ na kaubaridi yaani ukaenda mpaka kwa pipi [emoji23][emoji23][emoji23]

Asiporinga huyo bi dada basi hajui kupendwa kwa upendo mwanana sio ule wa kisuli suli.

Big up mkuu
tena atakua na mapepo aliyorushiwa na zumaridi 😂 😂

kale ka ubaridi kale we kaache,ET wenyewe mmeekewa A/C kwenye HQ🤣🤣
 
tena atakua na mapepo aliyorushiwa na zumaridi [emoji23] [emoji23]

kale ka ubaridi kale we kaache,ET wenyewe mmeekewa A/C kwenye HQ[emoji1787][emoji1787]
Ile kitu asikwambie mtu maana sio kwa kaubaridi mwanana loh
 
Back
Top Bottom