Sasa tusipowadekea tuwadekee akina nanimnadeka na nyie
Mmmhhh akuu anigeuze kitoweo, mara ya mwisho kuzabwa nilikua form two... Vipigo vya kutafuta sitaki akijisikia atafanya kwa kwelina wewe tupe tekniki yako
unamwambiaga Akikoroga uji yeye ugali ndio unakua mtamu eeeh🤣🤣🤣
Hili binafsi ni kawaida sana, pindi ninapokuwa na nafasi hasa kama nashinda nyumbani.2.Kumfunga nepi mtoto
usiishie kusema mahaba tu, malizia kbsa na "mahaba ya dhati"
hamna namna ndio fungu letu hilo
msizidishe sasa na nyie
Hili binafsi ni kawaida sana, pindi ninapokuwa na nafasi hasa kama nashinda nyumbani.
😍 😍 😍Mi binafsi nishafua hadi chupi yenye damu ya blid,, so kuna ile bahati mbaya imetokea tu alafu bibie naye mgonjwa, so unafanyaje? Ni kufua tu na kumwekea pedi kwenye pichu,, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuwapende jaman hawa wanawake pamoja na madhaifu yao,, kwa maana ndo mama zetu hao, wake zetu, madem zetu ,michepuko yetu, [emoji3][emoji3] mashemej zetu
Kama hicho ndio kipimo chake acha tu aone hivyohumpendi wewe
Umewaza sawa mkuu mambo haya hayana mwenyejiMi binafsi nishafua hadi chupi yenye damu ya blid,, so kuna ile bahati mbaya imetokea tu alafu bibie naye mgonjwa, so unafanyaje? Ni kufua tu na kumwekea pedi kwenye pichu,, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuwapende jaman hawa wanawake pamoja na madhaifu yao,, kwa maana ndo mama zetu hao, wake zetu, madem zetu ,michepuko yetu, [emoji3][emoji3] mashemej zetu
Aaaahh!! bwana wee acha niwe mwoga tu.... Watu wenyewe nyie mnapenda kupiga wenzenu tena kama wewe CONTROLA unaonekana una mkono weweee mmhhhh....ha ha ha kaogaaaaa hakoooo 😛 😛