Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

Hii ndio jamii forums bhana kipindi wewe umelala njaa wenzako wameshiba mpaka wanavimbewa kipindi huna kitu mfukoni wenzako wanawaza wata pata wapi maeneo ya nguvu ya kula raha ya maisha
Kipindi we uko na mpenzi unamfanyia hayo malavu davu wengine........
acha watamalizia tu wengine.....
 
Birthday boy umeshaanza hizo shughuli zote😁😁😁😁
Happy belated birthday CONTROLA mwenye controls zake. More blessing bro
Jamani mama D what more can i say?

Thank you mama, ur wish mean a lot to me

Japo umechelewa ila namba yangu ya tigo pesa ni ile ile🙊🙈

Watoto sisi bwana,just imagine kwenye birthday juzi "wameniletea wale baikoko"

unafikiri hii akili itakuwa ya kitoto tena kweli?🤣🤣
 
Hahaha check msg tigopesa ukaji enjoy mchana huu...
Ila sasa kwa Uzi huu nimegundua hata CONTROLA anaweza kuwa under control tuu... Wanawake tuna nguvu sana kwa kweli🤣🤣🤣🤣
 
Hahaha check msg tigopesa ukaji enjoy mchana huu...
Ila sasa kwa Uzi huu nimegundua hata CONTROLA anaweza kuwa under control tuu... Wanawake tuna nguvu sana kwa kweli🤣🤣🤣🤣
sina ubishi katika hilo mama D yaniiiii 😂 😂

ukorofi utata huku nnje tu,ila ndani mikono🙌🙌 juu

sema na wewe mama D msg ya tgo pesa mbona "sijaona ya kutolea" sasa😹😹
 
hakuna anaejivunia kivipi mkuu? umeshawahi kukutana na mwanamke hajaona period mwezi wapili unaenda?

wanakuaga na mawazo hata kuku aliepokonywa kifaranga wake na mwewe hawi vile aseee.
Kwakweli nisipoona period yangu napata mawazo Sana...naipenda period yangu sanaaaa AAA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitu period hafu uwe na hiyo HQ [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli nisipoona period yangu napata mawazo Sana...naipenda period yangu sanaaaa AAA.
 
Kufua nepi ya mtoto sijawahi,
Ila kumvesha nepi, pampaz, kumsafisha n.k nishafanya kwa mtoto.

Kumvesha pedi, kumvua, kumnyoa n.k nishafanya, na naona ni vitu vya kawaida saana, sijui imekuwaje ukalinganishe na kubeba zege.
 
yote heri na sawa.....pale kwenye pedi mshumaa utawaka...sina subira........endelea tuu mkuu...ni mahaba pia
 
Najua tunawapenda sana wanawake/wapenzi zetu lakini kuna vitu hadi na leo hii kuna baadhi ya wanaume hawavijui achilia mbali kuvifanya kwa wapenzi zao, kuna mambo mawili magumu yanayowashinda wanaume wengi (si wote) kama

1.Kufua nepi za mtoto zenye kinyesi
2.Kumfunga nepi mtoto (nikikumbuka hii najichekaga sana)
3.Kumuwekea mpenzi/mke wako Pedi kwenye chupi yake.

Hizo ngoma 3 hapo juuu ni ngumu asee mwanaume bora umwambie akabebe zege atajitahidi ila sio hizo vitu hapo juuu,Kwa upande wangu mimi kusema ukweli pedi najua weka tena najua vizuriiiii step zote A mpk Z na sijaishia hapo wazeee,Najua hadi zipoje poje zikikaa kwenye papuchi 🤦‍♂️

View attachment 1274960

Hizi HQ najua zina kaubaridi flani hivi amaizing mno 🤣 kina mama mnanielewa najua,kale ka ubaridi msio ujua ni mfano ukila pipi kali bwana wee raha yake twaijua sie.

Turudi kwenye mada pale juu, mwanaume umeshawahi m'badilishia mwenzako pedi? Ilikuaje? Nani alikufundisha? huwa unajisikiaje unapofanya hivyo?

Nadhani kama hapa ndio mwisho wa thread hivi

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
yeah one time she was sick she couldnt even move and i was with her and its was her period{mestrual} so i cleaned her , and took those pads and put their for like a week until she was full regain her normal health.
 
Back
Top Bottom