Hahaha ingia YouTube mzee kacheki Tutorialnani alikufundisha mkuu?
kama una kunywa mbege sogea kwa hapa mbele tujumuike pamojayeah one time she was sick she couldnt even move and i was with her and its was her period{mestrual} so i cleaned her , and took those pads and put their for like a week until she was full regain her normal health.
kuna watu humu anakwambia bora abebe zege etiKufua nepi ya mtoto sijawahi,
Ila kumvesha nepi, pampaz, kumsafisha n.k nishafanya kwa mtoto.
Kumvesha pedi, kumvua, kumnyoa n.k nishafanya, na naona ni vitu vya kawaida saana, sijui imekuwaje ukalinganishe na kubeba zege.
Sio kwamba ni mvaaji?Hii inaonesha baharia alifanya diving kipindi Simba na Man U wanacheza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wew si controla........unaweza kontro....mimi hapana...mshumaa ukiwaka lazima uzimwe...sasa akiwa vile si kujitakia.....aaaah mkuu tunaangushana
Daah 😂😂😂🏃🏃robert sendabishaka,
mimi aende tu kunitangaza popote akitaka,nitamfanyia kila kitu sitoacha
maana hamna hata siku 1 nitasikia huko mtaani wakinisema,wataniona saa ngapi?
Natoka wakiwa wamelala narudi wakiwa wamelala,nayasikiaje hayo mashudu yao? wao waseme tuu
ila kwa huyu mpenzi wangu akitaka kujua mimi sio "bwege" ayavagae au anichanganyie mada siku moja
Ki ufupi wananielewa ndio mana hata nikiwazibua wanajua "ni haki yao"
Hahaa.. Huo ni uzembe sasa, mkeo ama wa kumoyo kumtendea hayo ni mambo ya kawaida kabisa.kuna watu humu anakwambia bora abebe zege eti
Hatari sana hii, vyote naweza kufanya ila pesi big no. Kaubaridi umekajuaje, au umewahi kuzivaa?
Ee ndiwoooooMi binafsi nishafua hadi chupi yenye damu ya blid,, so kuna ile bahati mbaya imetokea tu alafu bibie naye mgonjwa, so unafanyaje? Ni kufua tu na kumwekea pedi kwenye pichu,, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuwapende jaman hawa wanawake pamoja na madhaifu yao,, kwa maana ndo mama zetu hao, wake zetu, madem zetu ,michepuko yetu, [emoji3][emoji3] mashemej zetu