Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Yeaaaaaah[emoji7] [emoji7] [emoji7]
say Yeaaaaah... we call it "pure love"
Yeaaaaaah[emoji7] [emoji7] [emoji7]
say Yeaaaaah... we call it "pure love"
Watu kama hao ni kuwaacha tu mkuu, kila mtu anaishi maisha yake vile anavyoona ni sahihi, so mie nikimkuta mtu hafanyi simshangai.nimewashangaa kwakweli,sema kubishana nao sikupenda asee
Ni uzi special wa wakina mama wakijadiliana ubaridi unaopatikana kwny pedi zao.Sijajua mantiki ya huu uzi
sababu namba 4 shida nini mpk iwe ngumu kwako na mengine yote unaweza?1. Kufua nepi za mtoto hii kwangu sio issue kabisa
2. Kumbadilisha mtoto nyuo za mavi au mikojo nafanya tena kwa upendo wote.
3. Kufua pichu za wife once in a while nafanya tena kwa mahaba yote.
4. Kuweka pedi kwenye chupi yake, sijawahi na sitegemei kufanya UNLESS awe anaumwa, anything to do with pedi yake sitaki kushirikishwa[emoji39]
Bado sijaona mantiki na sababu za kumfanyia hivyo, nasema kama ni mgonjwa nitalazimika kufanya hivyo.sababu namba 4 shida nini mpk iwe ngumu kwako na mengine yote unaweza?
sawa mzee baba......ila yangu mimi ni ule upenye maalum....so inabidi niwe mtulivu sana....analijua hilo...njia za kuzima mshumaa mbona nyingi sana mkuu...
Asante sana!Kabisa mwanaume lijali huyu. Sio lazima ila panapo nafasi jishughulishe, big up
Mama yake mkuu...ha ha ha!ebu tueleze siku ya kwanza nani alikufundisha kuifunga hiyo nepi?
mimi nilimfunga mtoto kama nafunga kuni porini🤦♂️
Hahaha
Kweli zina kaubaridi mwanana ila mie zimenishinda zinavuta chini ya tumbo,sijui ni mimi tu au?
Yaani ile harufu anayeijua lazima akustukie.Tupo pamoja dr,mimi sitaki hata kuziona aisee... sio kwa kuvutwa kule chini na mharufu wake wa kuumbuana