Hii ni shida kubwa sana wanawake kuanza kuwapangia zamu wanaume. Ila binafsi kitu ambacho naona ni fahari kukifanya ni kumuogesha mwanangu,kumnawisha akijisaidia na kumfulia nguo. Nawapenda wanangu kama nafsi yangu, siwezi acha kutoa huduma kama hizo ambazo zinahitaji upendo wa kipekee kuzifanya mara kwa mara. Wanaume wengi hawataki kabisa kugusa nepi au kumnawisha mtoto akijisaidia, But I personally do, wala simwiti hause girl au mama yake, I do it with all my love.Shida ya mwanamke ndio hio, ukimzoesha kumsaidia ishu flani tu anaanza kukupangia zamu au anakuachia jukumu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Usipofanya hivyo anakununia kabisa yani[emoji1][emoji1][emoji1]
Suala la kumuhudumia mke naweza bila ya shaka kama anaumwa. Naweza weka pedi, kumfulia nguo, kumuogesha na hata kumvisha nguo.
Dogo wewe mtata sanahao wakaa na jamii 24/7 haoo aseee ipo day 1 ntawaamshia thread yao
wanazingua kinoma noma yani,na ndio matatizo yote kwenye ndoa yanaanziaga hapo.
hii mambo ya ujirani ujirani ushost ushost urafiki urafiki yaniiiii sipend hyo tabia kabisa.
Ukitaka kujua umuhimu wa period ipoteze bila kutarajia. Hapo ndio huwa watu wanasali sala zote....yani anamuahidi Mungu kila kituMambo mengine ni ya ndani uko hakuna Mwanamke anayejivunia period tuwaache tu kwa kweli
Kila mtu afanye majukumu yake, nambadilisha pedi ye mtoto?? Na anavaaje ped mpya bila kusafisha??Shida ya mwanamke ndio hio, ukimzoesha kumsaidia ishu flani tu anaanza kukupangia zamu au anakuachia jukumu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Usipofanya hivyo anakununia kabisa yani[emoji1][emoji1][emoji1]
Isaiah 4:1 (NRSA) Seven women shall take hold of one man in that day, saying, "We will eat our own bread and wear our own clothes; just let us be called by your name; take away our disgrace."sio kweli kuu
nakuelewa sana,mimi nimekataaga pampers Hata waliokua wanaleta zawadi za pampers nilikua nachoma motoTulishakubaliana na wife hayo makitu hatutaki hata kuyaona kwenye nyumba yetu,Yatengenezwe hukooo! Khanga zipo kibaoooo tu
haina uhusiano wowote na kumjali mpenzi/mke wanguIsaiah 4:1 (NRSA) Seven women shall take hold of one man in that day, saying, "We will eat our own bread and wear our own clothes; just let us be called by your name; take away our disgrace."
Isaiah 4:1 (NLT) In that day so few men will be left that seven women will fight for each man, saying, “Let us all marry you! We will provide our own food and clothing. Only let us take your name so we won’t be mocked as old maids.”