looh!
Hongera kwa kutuamsha. tatizo haliko kwetu mtumishi mwaminifu, ila kinachochagiza waume wengi wasiwasaidie wake zao majukumu ya nyumbani ni tabia ya wanawake kuanza kujitangaza kwa mashost kuwa wanasaidiwa hivi sijui vile na hapo jamii kujikuta inamchukulia mwanaume km mtu dhaifu aliyekubuhu.
Zaidi wanawake humnanga mumewe kuwa kapewa limbwata. baadhi ya wanawake wataanza kumzonga huyo bidada awape ujanja au awaambie kizizi gani anatumia
Pia mwanamke akizoezwa kusaidiwa hujikuta akimpa zamu mwanaume. leo hupiki, au utasikia baba nanii nisaidie basi unibandikie maji ya ugali mpenzi, nataka nijiandae haraka nikamsaidie shost yangu ama kishughuli.
Kimsingi turudi kwenye maagizo ya maandiko, kuwa "nitakufanyia msaisizi"