Nawauliza wanawake wa JF?

Nawauliza wanawake wa JF?

Kwanza lazima utambue watu wana interest rofauti kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo sababu za kimaumbile/jinsia, yan hata wewe kuna jambo utalifanya japo ni la kawaida tu but watu wanaweza kukwambia mbona una mambo ya kike; maana yake hilo jambo kiasili mara nying hufanywa na jinsia nyingine (ke), mfano wewe mwanaume ujikalishe kwenye celebrity forum kila saa kuwazungumzia kina Wema Sepetu lazima tukuchunguze vizur kama linda bado lipo, japo sio kosa but hayo mambo kiasili yanapendelewa kufanywa na wanawake.
 
Halaf sisi wadada tunapenda kuzungumzia mambo yanayotuhusu kwenye maisha yetu ya kila siku moja kwa moja so huwez kutukosa MMU na chit chat coz mapenzi na mahusiano ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku na mtu inakua ni rahisi kuchangia mada hauhitaji kuwaza sana coz tuna experience za kutosha so huna haja ya kuumiza kichwa ukiingia jukwaani.

sasa uje jamii intelligence, sijui siasa, n.k, yan unakosa point kabisa coz kama hujui hujui tu, mambo ya mikataba ya madini, sijui katiba mpya, sijui jeshi lenye nguvu duniani, yani hapo kama hujui hujui tu huwez kutunga, so mara nyingi huwa tunapita kujifunza kwenye hayo majukwaa na kuuliza maswal ili tujue vizur na huo ndo umuhimu wa JF, so mkiona uzi una views 1K but reply 300 ujue kina sie ndo tumepita humo kujifunza tusoyajua
 
Habari

Katika kuzurura zurura humu jf nimekutana na tu vitu twa kunishangaza sana hasa hawa memba wa Kike humu:

1. Kwenye jukwaa la MMU, CHIT CHAT na CELEBRITY hapo ndio mpo active kuliko majukwaa mengine sasa nawauliza hamjui kitu kwenye SIASA, UCHUMI, UTABIBU, MAGARI, ELIMU, SHERIA maana huko mnauliza tu, tofauti na majukwaa mengine

2. Mnapenda kuuliza sana kila jambo isipokuwa MMU na CELEBRITY hapo mna PHD kwa kweli. Sasa nawauliza nyie ni wasomi, je ni wasomi wa MMU?

3. Naskiaga huku mmepita chuo kikuu ila sasa mbona siwaelewagi mambo ya kutumia akili ya darasa la saba mpaka muombe msaada. mfano jiko langu linatoa moto wa njano naomba msaada?

4. Kwa nini hamko huru huku, japokuwa hatujuani(sina uhakika) ila mtu anaogopa kufungua ili iwe manufaa kwa wengine. Mkitaka kufunguka mnatumia id mpya.

5. Hamnaga mawazo chanya nyie kila kitu ni kibaya kwenu hasa linapokuja mahusiano, ushauri, maelekezo n.k

Niishie hapo

nakaribisha mapovu yenu
Mkuu mbona umetujumuisha wote? Wengine sisi huko kwingine tupo hatupo zaidi sana SIASA UCHUMI MATANGAZO INTERNAIONAL etc. Kila mtu na kupenda kwake kuwepo JF so yote ni heri tu Mkuu waache waburudike ni matakwa yao. Ni hilo tu Mkuu.
 
Habari

Katika kuzurura zurura humu jf nimekutana na tu vitu twa kunishangaza sana hasa hawa memba wa Kike humu:

1. Kwenye jukwaa la MMU, CHIT CHAT na CELEBRITY hapo ndio mpo active kuliko majukwaa mengine sasa nawauliza hamjui kitu kwenye SIASA, UCHUMI, UTABIBU, MAGARI, ELIMU, SHERIA maana huko mnauliza tu, tofauti na majukwaa mengine

2. Mnapenda kuuliza sana kila jambo isipokuwa MMU na CELEBRITY hapo mna PHD kwa kweli. Sasa nawauliza nyie ni wasomi, je ni wasomi wa MMU?

3. Naskiaga huku mmepita chuo kikuu ila sasa mbona siwaelewagi mambo ya kutumia akili ya darasa la saba mpaka muombe msaada. mfano jiko langu linatoa moto wa njano naomba msaada?

4. Kwa nini hamko huru huku, japokuwa hatujuani(sina uhakika) ila mtu anaogopa kufungua ili iwe manufaa kwa wengine. Mkitaka kufunguka mnatumia id mpya.

5. Hamnaga mawazo chanya nyie kila kitu ni kibaya kwenu hasa linapokuja mahusiano, ushauri, maelekezo n.k

Niishie hapo

nakaribisha mapovu yenu
Kila mtu anashiriki sehemu apendayo banah, sio mambo ya kulazimishana
 
kila mtu anapita anakoona kunamfaa jamani sasa mie sio mwanasiasa wala sinampango wa kuwa mwanasiasa huko nikafanye nini sasa jamani?? kipenda roho
 
Ulishawahi kuona wapi kungwi mwanaume???
 
Back
Top Bottom