GREENER
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 641
- 2,131
Kwanza lazima utambue watu wana interest rofauti kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo sababu za kimaumbile/jinsia, yan hata wewe kuna jambo utalifanya japo ni la kawaida tu but watu wanaweza kukwambia mbona una mambo ya kike; maana yake hilo jambo kiasili mara nying hufanywa na jinsia nyingine (ke), mfano wewe mwanaume ujikalishe kwenye celebrity forum kila saa kuwazungumzia kina Wema Sepetu lazima tukuchunguze vizur kama linda bado lipo, japo sio kosa but hayo mambo kiasili yanapendelewa kufanywa na wanawake.