[emoji28][emoji28][emoji28][emoji8]Yanini kuhangaika na mada za kukomazana sura?
Mkuu mbona umetujumuisha wote? Wengine sisi huko kwingine tupo hatupo zaidi sana SIASA UCHUMI MATANGAZO INTERNAIONAL etc. Kila mtu na kupenda kwake kuwepo JF so yote ni heri tu Mkuu waache waburudike ni matakwa yao. Ni hilo tu Mkuu.Habari
Katika kuzurura zurura humu jf nimekutana na tu vitu twa kunishangaza sana hasa hawa memba wa Kike humu:
1. Kwenye jukwaa la MMU, CHIT CHAT na CELEBRITY hapo ndio mpo active kuliko majukwaa mengine sasa nawauliza hamjui kitu kwenye SIASA, UCHUMI, UTABIBU, MAGARI, ELIMU, SHERIA maana huko mnauliza tu, tofauti na majukwaa mengine
2. Mnapenda kuuliza sana kila jambo isipokuwa MMU na CELEBRITY hapo mna PHD kwa kweli. Sasa nawauliza nyie ni wasomi, je ni wasomi wa MMU?
3. Naskiaga huku mmepita chuo kikuu ila sasa mbona siwaelewagi mambo ya kutumia akili ya darasa la saba mpaka muombe msaada. mfano jiko langu linatoa moto wa njano naomba msaada?
4. Kwa nini hamko huru huku, japokuwa hatujuani(sina uhakika) ila mtu anaogopa kufungua ili iwe manufaa kwa wengine. Mkitaka kufunguka mnatumia id mpya.
5. Hamnaga mawazo chanya nyie kila kitu ni kibaya kwenu hasa linapokuja mahusiano, ushauri, maelekezo n.k
Niishie hapo
nakaribisha mapovu yenu
Kila mtu anashiriki sehemu apendayo banah, sio mambo ya kulazimishanaHabari