changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Ukiona Yanga wanapata goli moja msiwabeze kwa kuwaona wabovu kwa kushinda goli moja moja. Kutumbukiza goli wavuni na kupata point tatu sio kazi ndogo.
Simba imecheza dhidi ya Biashara wakahaha kutumbukiza mpira wavuni lakini wapi mpaka refa akawapa penati lakini boko akawabokoa kwa kukosa penati. Mechi ya Dodoma dhidi ya Simba hivyo hivyo, Simba ikahaha kusaka goli lakini wapi mpaka refa alipowapunguza wachezaji wa Dodoma jiji ndio Simba ikaambulia goli moja.
Jana pia Simba imeangaika kuweka mpira kimiani ili kupata goli kila wakiangaika wapi, mpaka pale refa aliwapata penati. Ilipoyolewa penati basi wachezaji wa Simba walishukuru kwa furaha, washabiki nao wakafurahi sana mpaka wakaruka ruka.
Medie Kagere akaomba dua kwa kusali kabisa na washabiki uwanjani wakapiga maombi ili waambulie goli moja la ushindi huku mkajisahaulisha kuwa ndio nyie mliwananga Yanga kuwa wabovu kisa wanapata kigoli kimoja moja tu tena wanacheza uwanja mzuri kabisa. Je, nyie jana mlichezea uwanja gani jana? Mechi tatu penati mbili, kadi nyekundu mbili.