Nawauliza Washabiki wa Simba, je mmeona ugumu wa kutumbukiza mpira wavuni?

Eeh bana hao watoto this time wanaupiga mwingi balaa. Nafasi ya 2 au 3 au hata moja kabisa ni ya kwao. Dah makolo jana wamekoswa koswa hatar.
. All in all mwaka huu simba ameshika adab. Kwake kila mechi ni dume hehehe
Kwanini MSIKAMIE.
 
Utopolo hapo pikipiki lenu la miti limeshawaka na lipo mteremkoni sasa hivi. Subiri likifika mlimani sasa linaanza kurudi nyuma badala ya kupanda. Manaanzaga hivi hivi kwa Kigali kimoja kimoja then saresare maua. Wakati huo pilipiki ya mafuta ya mnyama inakuwa imeshawaka
 
Nyie mnashinda kwaa goal ngapi ngapi?
 
ninyi si ndio mnatoa hela kuwapa hawa madogo watukazie simba mwisho wa siku wanacheza rafu za hovyo na kupelekea simba kupewa penalty za wazi kabisa zisizo hata na ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na zile mbili za galaxy kule kwao alifunga Makambo??
Unazungumzia zile assist walizowapa wachezaji wa Galaxy kwa mipira ya kona huku mkicheza chini ya kiwango? Haya kiliwakuta nini kwa Mkapa mbele ya hao Galaxy.
 
ninyi si ndio mnatoa hela kuwapa hawa madogo watukazie simba mwisho wa siku wanacheza rafu za hovyo na kupelekea simba kupewa penalty za wazi kabisa zisizo hata na ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto akidekezwa na wazazi, siku akienda ugenini anakutana na makauzu wasiojua kudekeza watoto. Mmedekezwa kwa magoli ya penati na kucheza na wachezaji pungufu mwisho wa siku klabu bingwa mkatolewa na timu ambayo haijacheza mpira kwa zaidi ya miezi sita
 
WACHAMBUZI WANAPOSEMA YANGA NZURI HAINA MAANA NI NZURI KUZIDI SIMBA KENGE NYIE...NI NZURI UKIILINGANISHA NA YANGA YENYEWE YA MSIMU ULOPITA...NA UKITAKA KUELEWA NACHOSEMA YANGA ROUND YA KWANZA TU "CL" KAPIGWA NJE NDANI SHENZI.
Kwahiyo Simba ikafuzu raundi inayofuata?
 
WACHAMBUZI WANAPOSEMA YANGA NZURI HAINA MAANA NI NZURI KUZIDI SIMBA KENGE NYIE...NI NZURI UKIILINGANISHA NA YANGA YENYEWE YA MSIMU ULOPITA...NA UKITAKA KUELEWA NACHOSEMA YANGA ROUND YA KWANZA TU "CL" KAPIGWA NJE NDANI SHENZI.
Je ubora wa Simba upo kama msimu uliopita au umeshuka?
 
ninyi ambao hamjadekezwa mpo group stage au sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ninyi ambao hamjadekezwa mpo group stage au sio

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tungetumia muda mwingi kuandaa timu kama walivyofanya simba ambapo wamekaa Morocco takribani mwezi mzima, wakacheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa kisha wakakaa Arusha wakacheza mechi moja ya kimataifa. Hivyo basi Yanga isingeishia kwenye group stage tu bali mpaka nusu fainali tungefika.
 
Na wale wachezaji wetu tegemeo
wasingekula pin ya CAF
 
Pamoja na coastal union kuwa pungufu lakini bado mkashindwa kupata goli
 
Msimu uliopita
Mechi nne pointi nne
Msimu huu
Mechi nne pointi nane

Tumeimarika sana ni wachezaji tu kukubali no chama no luis wacheze mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…