Idea nzuri, wacha nitatafiti. Je vip kuhusu energy drinks coz huku naona wanapenda sana kunywa hizo tena Azam energy ndio usiseme wanaipenda sana, Hadi Kuna mtu aliniambia kwamba wanaitengenezea huku huku kimagumashi na sticker inasoma inatoka Bongo Yani ni kama wanavyofanya kwenye Konyagi,
Konyagi Og inatoka Tanzania ila huku wanayakwao ambayo wanatengeneza wenyewe ila label inasoma Dar es salaam Tanzania na ukizinywa zote 2 taste ni tofauti
Sasa hili la Azam energy Sina uhakika kama kweli na hii wanaichakachua kwasababu naziona nyingi sana huku japokuwa na wao wana Energy drinks zao nzuri kama Play na Predator,...So nataka nitaste na Mo Extra kama watazikubali coz sijaziona kabisa huku
View attachment 1929708View attachment 1929709