Nawaza kumletea mzee nguo kama zawadi ya valentine. Ni sawa au nitakuwa nimekosea?

Nunua
-Mchele 10kgs
-Mfuko mmoja wa ngano
-Sukari 10kgs
-Nyanya na vitunguu vya kutosha
-Mkungu wa ndizi mbichi

andaa
-Kibunda atleast 100k kwa kila mmoja, na 5k kwa madogo kama wapo
Kwanini unataka kumtesa mwenzako unataka arudi kwqke fukara
 
Si vibaya kuwapa wazazi zawadi siku ya valentine ila kama unatafsiri nyingine moyoni mwako. Umekalia baraka kumbe wazazi wapo? Wengine tunatamani kufanya hivo lakini hawapo.
 
Nunua kuku mwekundu, hela ziwe elfu kumikumi tu, kama unafahamu size zao siyo mbaya wanunulie nguo nyekundu.

Anyway, ukifanikiwa kuwanunulia nguo nyekundu usisahau kuwaandalia na kilinge
 
Usije kumnunulia suruali ya kubana au shati la kufanana na alilo nalo.

mpe tu hela
 
Nunua
-Mchele 10kgs
-Mfuko mmoja wa ngano
-Sukari 10kgs
-Nyanya na vitunguu vya kutosha
-Mkungu wa ndizi mbichi

andaa
-Kibunda atleast 100k kwa kila mmoja, na 5k kwa madogo kama wapo
Unajua kupangilia zawadi ya kupeleka nyumbani.
Hapo lazima wafurahi hata kama ukikuta wamenuna.
Utapokelewa kwa mzinga wa 'waaaaooo' ya kufa mtu.
 
Achana na masuala ya nguo, wanunulie vyakula zaidi na pesa waachie. Achana na Mambo ya vyakula vitaisha hawatakukumbuka, kwani unafanya ili wakukumbuke? Wazazi wako wanathamini chochote kidogo, wanakubless baraka
 
Hivi ni kwanini hadi msubiri siku ya leo?
 
Wapelekee maua uwaambie ndo zàwadi za valentine day wazungu wanaoenda sanaaa. Watafurahi kwelikweli.
 
Achs mambo yako mnunulie mwambie nakupenda baba yangu,na mazaga mengine atafurahi sana na atakuombea baraka.
Nguo pia ni kumbukumbu
 
Penda wazazi wako ili ujikinge na mabaya na husda za wabaya fanya lolote unaloweza ili wazazi wawe na furah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…