Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mara zote Rais wa Taifa hili akizungumza sioni akimtanguliza Mungu na kumtaja ama kumtukuza na kumsifu Mungu wetu wa dini zote aliyepo hai jana, leo na hata milele, sioni faida ya kutamka nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano.
Sina hakika na kutamalaki na wito wa mbegu njema ya Mungu chini ya utawala huu. Sioni Mungu akikaribishwa kwenye hafla za taifa hili.
Kila mtu awaye yeyote atavuna apandacho. Kama huyu Rais wa sasa haoni umuhimu wa kumtukuza Mungu basi atajua na Mungu wake anaemuamini yeye.
Ni mtazamo wangu najua Mungu anaishi daima.
Wadiz.