Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Itakua Kuna watu wanam-pressurizeMfafanulie huyu kijana maana naona anataka kuingia kwenye mechi na mchezo hajauelewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua Kuna watu wanam-pressurizeMfafanulie huyu kijana maana naona anataka kuingia kwenye mechi na mchezo hajauelewa!
Natabiriii tu:Habari
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Nimechoka kuishi na kujiua siwezi maana nimekulia kwenye dini....nawaza nimekosea wapi au ni laana, kama Kuna mtu aliwahi kupitia Hali kama yangu aniambie aliwezaje ku survive. Nahitaji ushauri🙏
Cha tano, yani una 20s alafu unawza mambo ya watoto., fanya kazi wee pimbi acha usengeee
Najitegemea mkuu spo kama unavyodhani na age yangu n late 20sNatabiriii tu:
Itakuwa unasoma au
Itakuwa unakula kwa wazazi au
Itakuwa hujitegemei
Niambie unafanya KAZI au unafanya nini
Mimi ilishawahi kuwa na Hali kama Yako lakini nilivyo anza kulala stendi na kusaka maisha sikuwahi kusikia nyege mbaka nikahisi nimekuwa hanisi ikabidi nikatest mitambo pale riverside ndo nikagundua KAZI ni dawa
Nb.KAZI ni kipimo cha utu
Umekosa hata wa kununua? Au stress unatokana na kukosa pesaHabari
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Nimechoka kuishi na kujiua siwezi maana nimekulia kwenye dini....nawaza nimekosea wapi au ni laana, kama Kuna mtu aliwahi kupitia Hali kama yangu aniambie aliwezaje ku survive. Nahitaji ushauri🙏
Huo msongo wa mawazo umetokana na wewe kuamini kwamba ukiwa na mpenzi ndo unakuwa na furaha, that's wrong dearHabari
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Nimechoka kuishi na kujiua siwezi maana nimekulia kwenye dini....nawaza nimekosea wapi au ni laana, kama Kuna mtu aliwahi kupitia Hali kama yangu aniambie aliwezaje ku survive. Nahitaji ushauri🙏
Tatizo lako ni dogo sana sana,unapaswa uwe na subira kidogo tu mambo yanaenda kuwa mazuri ,siku Chache utanitafuta unishukuru inbox , una bahati sanasana brother hujui tu,na kwa sababu ya wewe kuwa na bahati basi umegeuka kuteseka hata usijue sababu kamili, Anza kuwa na tumaini Sasa,siku za amani na furaha zinakujaHabari
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Nimechoka kuishi na kujiua siwezi maana nimekulia kwenye dini....nawaza nimekosea wapi au ni laana, kama Kuna mtu aliwahi kupitia Hali kama yangu aniambie aliwezaje ku survive. Nahitaji ushauri🙏
Acha kukata tamaa bro, wengine tumepitia zaidi ya hayo, piga moyo konde,songa mbele, kwa mwanamume, kazi, pesa, ni suruhisho la mambo mengi,ri
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Nimechoka kuishi na kujiua siwezi maana nimekulia kwenye dini....nawaza nimekosea wapi au ni laana, kama Kuna mtu aliwahi kupitia Hali kama yangu aniambie aliwezaje ku survive. Nahitaji ushauri🙏
Babaji is a mystic figure just like Maritan apparitions.Demu. Unahitaji demu.
Leo nimemuota yule nadhani alikuwa ni Babaji. Alikuwa na demu amelala kwenye kitanda na demu.
Which is fantastic thing for me to say ukifikiria Babaji ni nani.
Halafu anasema ( nilipaswa kuiandika pale pale halafu ingekuwa verbatim), lakini nimeandika baadaye, nadhani alisema:
"Don't you come to sleep and dream with us
You have been away for too long."
Tafuta pesa hao mademu watakuja wenyewe utazichapa mpaka utazikimbiaHabari