yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Yaani point ni nini ?, kipi kinakusumbua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo unaonekana MTOTO WA MAMA na vilevile MPIGA PUNYETO. Na kubwa zaidi ni huna purpose kwenye maisha yako, Yaani unaishi ilimradi tu. so kitu cha kwanza tafuta Purpose.Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Mfafanulie huyu kijana maana naona anataka kuingia kwenye mechi na mchezo hajauelewa!Jitafute ww acha haraka za maisha Watu tuna 60 hapa na hatuna hata kimojawapo unachokitamani ww
Habari
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Nimechoka kuishi na kujiua siwezi maana nimekulia kwenye dini....nawaza nimekosea wapi au ni laana, kama Kuna mtu aliwahi kupitia Hali kama yangu aniambie aliwezaje ku survive. Nahitaji ushauri🙏
Ushauri mzuri mkuu.🙏Mkuu huna tatizo na wala usihofu hata kidogo, msongo ni kipimo cha kuonesha kuna namna unapaswa kuwa ila haujawa bado ndiyo maana unajisikia unavyojisikia. Usitafute faraja zaidi ya kujikubali na kukubali kuwa wewe ni msimamizi wa maisha yako na mtawala wa akili yako.
Hayupo wa kukusaidia usipojisaidia kwanza wewe mwenyewe kwa kujipa kile unachokihitaji haswaa ndani yako. Jiulize tu ukikaa peke yako ndani yako unajisikiaje? Trust me, kuna picha fulani nzuri ya maisha yako ulishaiona ila mazingira yanakuonesha vitu tofauti.
Usikubali kuliwazwa Wala kujiliwaza kama hujapata ukitakacho. Chagua njia ngumu ya kuamua kuwa vile ulivyoona tangu mwanzo ndani yako bila kujali unakutana na ugumu kiasi gani.
Sitaki kukushauri ushauri ambao nauita "dawa ya kutuliza maumivu" ila natamami sana utambue kuwa dawa ya kudumu ni wewe mwenyewe na siyo kubembelezwa "comfort zone". Narudia tena unajisikia msingi Kwa sababu kuna kitu kipo ndani yako na ulishaiona ila hujakifanya bado na dawa yake ni kukifanya tu haya mengine tutasumbuana bure.
Kumbuka mtu ni mtawala wa maisha yake hata kama akiwa katika hali dhalili kiasi gani. Usitegemee sana watu wa nje kuyatawala au kuyasimamia maisha yako. Wewe ni wewe ndani yako.
Usitegemee sana watia hamasa "motivational speakers" kukupa hamasa kama hauna hamasa ndani yako. Tumia hamasa yako kuhamasika na kuendelea. Hamasa ya nje inapaswa kuwa kama kiberiti cha kuwasha moto katika kile kilichomo ndani yako "self motive".
Asisahau pia kujipenda mwenyewe. Huwenda ndio kitu amekosa, plus akizingatia ushauri wako ataishi kwa amani.What you reveal you can heal.
Je katika haya mambo unapitia nini?
Mahusiano
Uchumi
Kazi
Afya ya mwili na Akili.
Tuambie kipi kinakusumbua
Ushauri
Nimeaona umesema love is something that make life Worth
Jibu-ni kuwa hili uanze kuona the power of love jitahidi uanze kupenda watu Ila usisubiri watu wakupende wewe.
Mfano hapo ulipo kuanzia mtandaoni hadi mtaani jaribu kuwa unatoa compliments kwa watu.
Jaribu kuwa unasaidia wahitaji
Jaribu kuwa closed with ur family father or mother .
Then practice third hand method
Maisha huwa ni vile unatoa ukitoa upendo kwa watu you will receive it with interest .
Kama haupendi na hautoi upendo utaishia kupendwa na wazazi tu
Kila kitu unabidi ujitoe in positive way
Get involved in things you love
Give back
Find inspiration
Be yourself
hivi,hizo hela zikatafutwa uwa ni shiling ngapi hata zitamfanya mtu asiwe na hisia na vitu vingine?.Chalii angu we tafuta hela arawa mademu watakupenda kinyama we ni balehe inakusumbua,ukikua utakuja kufananisha mademu na mashetani
Tafuta besaaa
Na umri wangu huu eti nikae nimshauri mtu namna ya kupata mademu!!! Huwa sifanyi kabisa huo usengerNikajua unapitia hali ngumu ya maisha kumbe kukosa wanawake, bado una utoto.