THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Tume ita copy na kupaste Tu, kazi imeshaishaLeo Lissu anatema nondo sana...Leo Lissu anayoyasema ni zaidi ya Ripoti za Tume.
Niseme hivi hata hio Tume iliyoundwa itakayoyaleta hayatafanyiwa kazi bali haya ya Lissu.
Lissu leo anaonyesha ubovu wa muundo wa utoaji haki,
Vyombo vya usalama,
Vyombo vya kusimamia uchaguzi
Na utumiaji vibaya mamlaka.
Naamini hakuna Mwana Ccm anaesikia haya ya leo akatoa kichwa.
Full stopTume ita copy na kupaste Tu, kazi imeshaisha
Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI lazima utaonekana kilaza tu!Huyu Lissu ni zaidi ya mwana sheria ukiunganisha akili za majaji na mawakili wa serikali wote ndiyo unapata nusu ya akili za lisu ukiunganisha na baraza lote la mawaziri wa serikali haramu ya bi 🐸 unapata nusu tena ya akili za Lissu kwa mana kwamba serikali haramu ya bi🐸 inakalishwa na mtu mmoja mpenda haki Tundu Lissu pekee, licha ya figisufigisu kuanzia kwa mkapa mwamba amewakalisha vibaya sana
Kupindisha haki mara nyingi njaa na kulinda kibarua ndiyo huwa changamoto ukimsikiliza katuga unajiuliza hivi huyu naye ni baba wa familia kweli?Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI lazima utaonekana kilaza tu!
Walipokubali kuipokea hiyo kazi katika mazingira mabovu ya kimfumo na kiutawala hilo ndio lilikuwa kaburi la reputation yao!Kupindisha haki mara nyingi njaa na kulinda kibarua ndiyo huwa changamoto ukimsikiliza katuga unajiuliza hivi huyu naye ni baba wa familia kweli?
Kwenye hii kesi imebaki kutumia ujinga tu na upumbavu kwa wenye mamlaka ila kiuhalisia wameshapwaya Tundu keshawaanika kuonyesha walivyo weupe kichwaniWalipokubali kuipokea hiyo kazi katika mazingira mabovu ya kimfumo na kiutawala hilo ndio lilikuwa kaburi la reputation yao!
Na mawakili wa selekali hawakutarajia kama lisu angeyasema hayo mambo yoteLeo Lissu anatema nondo sana...Leo Lissu anayoyasema ni zaidi ya Ripoti za Tume.
Niseme hivi hata hio Tume iliyoundwa itakayoyaleta hayatafanyiwa kazi bali haya ya Lissu.
Lissu leo anaonyesha ubovu wa muundo wa utoaji haki,
Vyombo vya usalama,
Vyombo vya kusimamia uchaguzi
Na utumiaji vibaya mamlaka.
Naamini hakuna Mwana Ccm anaesikia haya ya leo akatoa kichwa.
Hii ndo ukweli mtupu. Uwongo kuutetea ni kazi sana.Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI lazima utaonekana kilaza tu!
Walijua ata-define the term "kukinukisha" halafu basi🤣🤣🤣🤣Na mawakili wa selekali hawakutarajia kama lisu angeyasema hayo mambo yote
Kuna pale Lisu kasema kuna afande alimkamata, yule afande yeye mwenyewe anashaa Lisu kukamatwa, Lisu anasema Yule Afande alimwambia "Wanaacha kukamata majambazi wanahangaika na wewe"
hii kauli ni nzito sana nadhandi maccm walivyomakatili huyu afande wanaweza kumg`oa vyeo vyote