cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kumnyonga mtu Kama TAL au hata tu kumuweka gerezani badala ya kumpeleka pale mlimani akanoe vijana wetu itakua ni laaana kubwa sana kwa taifa hili.
Nasubiri kuona haki ikionekana kutendeka
Kabisaa, lissu anatakiwa apite vyuo vyote vinavyotoa taaluma ya sheria na kuwafundisha.