cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Aug 24, 2026 #41 darubin ya mbao said: Kumnyonga mtu Kama TAL au hata tu kumuweka gerezani badala ya kumpeleka pale mlimani akanoe vijana wetu itakua ni laaana kubwa sana kwa taifa hili. Nasubiri kuona haki ikionekana kutendeka Click to expand... Kabisaa, lissu anatakiwa apite vyuo vyote vinavyotoa taaluma ya sheria na kuwafundisha.
darubin ya mbao said: Kumnyonga mtu Kama TAL au hata tu kumuweka gerezani badala ya kumpeleka pale mlimani akanoe vijana wetu itakua ni laaana kubwa sana kwa taifa hili. Nasubiri kuona haki ikionekana kutendeka Click to expand... Kabisaa, lissu anatakiwa apite vyuo vyote vinavyotoa taaluma ya sheria na kuwafundisha.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Aug 24, 2026 #42 Watanzania na Wanachadema walitapeliwa kwa miaka mingi. Kajamaa kajizi ka mihuri ya katibu mkuu kwenda kumpitisha mkewe na wenzie wale wa Covid 19 kanatumikia project yake nyingine.
Watanzania na Wanachadema walitapeliwa kwa miaka mingi. Kajamaa kajizi ka mihuri ya katibu mkuu kwenda kumpitisha mkewe na wenzie wale wa Covid 19 kanatumikia project yake nyingine.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 6, 2026 #43 Muda huongea... Cc: Mahondaw