Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #61
Kwenye michezo lazima kuwe na utani kama huu..nini maana ya watani wa jadi??. umeona manara watu wanavyomdhihaki?? mwishu wa siku unabaki kuwa utani!.. niishie hapa..Kwahiyo kwenye michezo ndio upuuzi ruksa?
Kama unajiamini, kwa nini usijitoe wewe mwenyewe badala yake unampeleka mwingine?Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..
Hahah kweli wahuni sio watu,
Tambua kile ni kikosi kipanaHivi wapo mashabiki wa simba ambao wanaamini watashinda cairo?!
Tambua kile ni kikosi kipana
😂😂😂😂😂😂Sawa saa 4 usiku sio mbali 2taona upana wa kikosi
wengi tu! al masry last year walilala na viatu!Hivi wapo mashabiki wa simba ambao wanaamini watashinda cairo?!
Huna mamlaka ya kutoa dadako, toa mwanao au mkeo.Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..
Mkuu Simba mkishinda nakununulia perfume 20 za Haji Manara Collection
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mamaa mkifungwa naja kukubeba Weye eti?Uweke akiba ya maneno
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Siwezi sepa mkuu coz hamwezi kushinda