Naweka bet Simba aka underdog akimfunga Al Ahly natoa dadangu mje mumchukue

Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..

Acha ujinga weka picha ya dada yako tumuone kwanza usijetupa bibi bure lenye watt kibao mzigo wako bakia nao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..
Mkuu unamdhalilisha dada na si jambo jema,japo Mikia wanakufa 3+
 
Km mtaani kwenu wamemshindwa sie tumchukue wa nini, mpambanie kwanza mtaani kwenu wamtake, miguu yenyewe nahisi itakuwa kama ya Tambwe ndio maana wamfanyia promo,kama kawa shindikana wapelekee ndala wenzako
 
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..
Khamsa plus thalatha..Engineerrrrr ngapi hapoooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom